white girl
JF-Expert Member
- Dec 5, 2013
- 1,361
- 401
nakuzimia salama, kama upo humu ebu ni-pm🙂
Ni mim hapa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nakuzimia salama, kama upo humu ebu ni-pm🙂
salama sio mtu wa kuolewa
Ni mim hapa
mkuu naona uzi huu, unaendana na unyunyu unaonukia kuhusu wawili hawa,ama kweli lisemwalo lipo.......kama halipo basi lajahayo ni maneni ya Salama Jabiri ambae amefukunga kuwa anatamani kuolewa na Ambwene Yasaya(AY),kwa aliyeona Kipindi cha mikasi nadhani atakuwa alisikia maneno hayo
Pengine ilikuwa ni utani tu,lakini hakuna ajuaye kesho who knows salama anaweza kuwa Mrs AY....
![]()
![]()
source;mpekuzi
Kwani hana papuchi?Unamuona ni binti wa kutambulishwa ukweni huyo?
May Lord hav mercy on You!!Hivi Salama ni jinsia gani?
mh hatari sana shoga angu kumbe na wewe n flat sreen?? Ahahahaahehehdiya so makalio ndo ndoa khaaa ngoja nkale chukuchuku la dagaa mie nivimbe makalio bhaa
Mdada wa jinsia ipi?Salama nadhani jinsia yake ni mdada
[emoji38] [emoji38] [emoji38]May Lord hav mercy on You!!
hapa kumbe kuna msemaji wa AYni kama yako vile vile tu,,,,,,,
Kwani matako ndiyo yatakaolewa...mmmhh... Salama flat screen....hana makalio kabisa.... hw can she get married.... havutiii.... nothing in there....♡♡♥
ila?salama sio mtu wa kuolewa