Billie
JF-Expert Member
- Aug 13, 2011
- 13,588
- 22,752
Ni kweli.miamkuu ay na salama wanafanya kazi pamoja katika kipindi cha mikasi. mia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli.miamkuu ay na salama wanafanya kazi pamoja katika kipindi cha mikasi. mia
hayo ni maneni ya Salama Jabiri ambae amefukunga kuwa anatamani kuolewa na Ambwene Yasaya(AY),kwa aliyeona Kipindi cha mikasi nadhani atakuwa alisikia maneno hayo
Pengine ilikuwa ni utani tu,lakini hakuna ajuaye kesho who knows salama anaweza kuwa Mrs AY....
![]()
![]()
source;mpekuzi
Kwa nini asiolewe wakati anakojoa huku amechuchumaa?salama sio mtu wa kuolewa
Tena utakuta analia vilio vya mahabati ile mbaya wakati wa doziSwagg si kwenye tv,we unadhan kunako sita kwa mbili anakuwa mjanja yule?
Wewe hakuna mkate mgumu mbele ya chaiLabda yeye ndie aoe
huyu ndio wa kuolewa
Nani kakudanganya kila mwenye papuchi anafaa kutambulishwa na kuolewa?Kwani hana papuchi?
Na milegezo yake hiyo hiyo,Ngosha kapumzika saaanaaa hapo.mwanamke anavaa milegezo wanchoma kumoyo za kiume na makaptura hhhhhh labda alipie kila kitu na bado ndoa itakuwa na mashaka mala viduku....