Salama Jabir anatamani kuolewa na AY

Salama Jabir anatamani kuolewa na AY

hayo ni maneni ya Salama Jabiri ambae amefukunga kuwa anatamani kuolewa na Ambwene Yasaya(AY),kwa aliyeona Kipindi cha mikasi nadhani atakuwa alisikia maneno hayo

Pengine ilikuwa ni utani tu,lakini hakuna ajuaye kesho who knows salama anaweza kuwa Mrs AY....


salama1.jpg


AY123BC.jpg


source;mpekuzi


mwanamke anavaa milegezo wanchoma kumoyo za kiume na makaptura hhhhhh labda alipie kila kitu na bado ndoa itakuwa na mashaka mala viduku....
 
Hapo ni sawa na wanaume wawili wanaishi nyumba moja, hakuna hata ile raha ya mwanamke wala mwanaume ndani ya nyumba!!
#AY achana na huyu pang'ang'a oa mwanamke mwingine huyu akufafai!
 
Kweli kila mbuzi atakula kulingana na urefu wa kamba yake. Mfano me namkubali ile mbaya salama jabir. But how blinded are we? salama hanioni. Mpeni taarifa kwamba apart from AY kuna njemba inamlia mingo
kijamii jamii.
 
Atamkira mtoto..Hahahaha!!!
#Just kiding😀😀😀
 
mwanamke anavaa milegezo wanchoma kumoyo za kiume na makaptura hhhhhh labda alipie kila kitu na bado ndoa itakuwa na mashaka mala viduku....
Na milegezo yake hiyo hiyo,Ngosha kapumzika saaanaaa hapo.
 
Huyu dada cjuı kwann anafanana na my daughter wangu!!
 
Back
Top Bottom