Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kapigwa chini kavimba juu?Itakuwa amevimba tumbo maana dar baridi kali sana
Sasa tatizdo nini akiwa nayoKwani kasema ni ajabu?
Demu ni demu hata kama awe lesbian.. Fid q huyoWell,Mimi nadhani nimeelewa lilichomshangaza mtoa mada juu ya hio habari.
Nahisi ni kwa vile yule dada miaka yote hua anajiweka kama mwanaume 'tomboy' nadhani hicho ndio kilichomfanya mleta mada ashtuke kwa 'tomboy' kupata ujauzito.
Shumwalamu waituWeka picha tumwone, hacha maneno matupu
Hakuna tatizo, ametoa taarifa tu.Sasa tatizdo nini akiwa nayo
wwana maneno hao usicheze nao karata aisee wanaume wa dar shidaaaaaaWanaume wa Darisalama katika ubora wao.