Salama Jabir kuwa msemaji mpya Simba

Salama Jabir kuwa msemaji mpya Simba

Huyu kidogo kichwani betri ina chaji.
Siku 1 huko late 2000's Niko na Mzee tunaangalia TV, Salama akauliza hivi Ni wkt unafanya kitu gani ndipo hua unapanga mipango yako ya kimaisha mizuri na mizito ndg mtazamaji?

Akajijibu Mwenyewe(Salama) akisema,Mimi binafsi nikiwa nakunya ndipo hua napanga mikakati yangu.

Tangu miaka hio mpk Leo mzee wangu hua hataki kabisa kumuona Salama,hua nacheka kichizi nikikumbuka.
 
Kuna kaukweli ndani yake, kunya ama kuoga unakuwa na mipango mizuri inajichora kichwani, [emoji23][emoji1787]
 
Mwijakuu na salam ingependza san mhamasishaj na msemaji
 
Hana hamasa huyooo. Huyo mdada hana amsha amsha kama Manara .Ukweli ndiyo huo na msema kweli ni mpenzi wa Mungu tusijifariji kirahisi hivyo kuziba pengo la Bugati ni ngumu si rahisi kihivyo.Kama hamuamini tusubiri muda utasema

unaposema amsha amsha unaamaanisha kuongea vijembe na matusi au? maana Manara sikuona hizo amsha amsha miaka minne mitano nyuma akiwa pale simba..

team ikifanya vizuri haitaji propaganda na amsha amsha.. kila wiki watu wanajazana kwenye tv kuangalia team za ulaya.. zinapata pesa kwenye haki za matangazo ya tv sababu zina mashabaki dunia nzima

manchester hajachukua ubingwa miaka saba ila anakimbiza kwenye mapato ya television maana dunia nzima watu wanajazana vibanda umiza kuwaangalia..

ushaona wapi wanafanya amsha amsha dunian au hata kwao UK

mpira wa vijembe na matusi unatengeneza chuki.. ndo maana sasa hv simba na yanga chuki zimezid miongon mwa mashabiki sababu ya matusi..

90% ya mashabiki wa yanga wana chuki halisi na simba sababu ilikuwa manara..

ila simba hawana chuki na msemaji au mhamasishaji wa yanga sababu walikuwa hawatukani...

Haji angekuwa kama dismas ten wala yanga wasingeshangilia manara kuhamia yanga wangesema hawamtak ni simba damu ila sababu ya ile chuki walionayo wanashangilia wakijua sasa hv watakuwa wanatukanwa simba..

ingawa pia wanakwambia hawamuamini utaona kuwa hapo kilichowasukuma wamshangilie sio kuwa wanajua wa kwao hapana ni kuona sasa hv watakuwa wanashangilia matusi ya kwenda upande wa pili

its clear ndoa ya Yanga na Manara ni win win situation.. Manara pesa, Yanga mashabiki kushangilia matusi, Yanga gsm kupiga pesa ya ununuz wa jearsy manara akihamasisha mashabiki ila kwa afya ya Mpira hata pale Simba Manara alikuwa anatia doa Simba kwa baadhi ya matendo yake

nakwambia kama simba ingekuwa haifanyi vizuri Uongoz ndio ungeondolewa na Mashabiki akabak manara ila sababu Simba iko vizuri na Uongoz ukaona wanakoelekea Manara anakuwa anawaharibia wakat mwingine wakaamua wamminye kiutu uzima kulinda heshima yake

yeye akawa ana mawazo ya miaka ya 90 akijua wanachama wataandamana kina mo na Barbara watoke.. matokeo yake kasahau mpira wa Tanzania ushahama huko.. wanachama wa kufata mkumbo wamebaki wachache. mbaya zaid akawa hana support ya wale simba wenyewe kina magori na hans.. bora wale wangekuwa upande wake ingeweka uzito

sasa hv uwanjan shabiki wa simba kukaa upande wa yanga ni kosa la jinai.. inafikia hatua mashabiki wa simba wanaichujia Azam kisa Manara.. hii sio nzuri kibiashara..

jaman tubadilike kuendesha mipira kiswahili utatutia upofu wa kuona vitu vya msingi..

utan unaruhusiwa uwe na kipimo....
 
Hana hamasa huyooo. Huyo mdada hana amsha amsha kama Manara .Ukweli ndiyo huo na msema kweli ni mpenzi wa Mungu tusijifariji kirahisi hivyo kuziba pengo la Bugati ni ngumu si rahisi kihivyo.Kama hamuamini tusubiri muda utasema

Utopolo Bwana,Manara tumewaachia hizo amsha amsha zake kaeni nazo tuone kama ndiyo zitaleta makombe
 
Hana hamasa huyooo. Huyo mdada hana amsha amsha kama Manara .Ukweli ndiyo huo na msema kweli ni mpenzi wa Mungu tusijifariji kirahisi hivyo kuziba pengo la Bugati ni ngumu si rahisi kihivyo.Kama hamuamini tusubiri muda utasema
Amsha Amsha za nini,kwani mpira ni disko la vigodoro uswahilini?..

Watu tunataka soka safi na klabu kuwa kubwa.
 
Hana hamasa huyooo. Huyo mdada hana amsha amsha kama Manara .Ukweli ndiyo huo na msema kweli ni mpenzi wa Mungu tusijifariji kirahisi hivyo kuziba pengo la Bugati ni ngumu si rahisi kihivyo.Kama hamuamini tusubiri muda utasema
Ile siyo hamasa ni kelele
 
Hana hamasa huyooo. Huyo mdada hana amsha amsha kama Manara .Ukweli ndiyo huo na msema kweli ni mpenzi wa Mungu tusijifariji kirahisi hivyo kuziba pengo la Bugati ni ngumu si rahisi kihivyo.Kama hamuamini tusubiri muda utasema
Sasa team ikae bila msemaji..?? Basi suggest ww nani mwenye amsha amsha awe msemaji maana kila mtu mnamkataa..huyo manara tangu wamepigwa na kapumbu umemsikia sehem yoyote akiongea..manara alikua anaongea kwa sababh simba ilikua inafanya vzr
 
Back
Top Bottom