Salama Jabir, kwa hili jirekebishe!

Kweli kabisa mkuu usemayo. Lugha za kutatanisha kama hivi inabidi wawe wanazikwepa ukizingatia hichi kupindi kinaangaliwa na watu wa rika mbali mbali.
Sasa sijui huwa hakuna editing kabla ya kipindi kurushwa? Maana ingeondoa au ku block lugha chafu kama hivi.



 
Hilo la kuchanganya lugha sio kwamba ndo wanawalenga wana East Africa wote?
Mi ndo ninavyoelewa hivyo.

Ila hayo maneno mabaya kwakweli hayapendezi.
Nadhani atakuwa anatusoma, ajirekebishe.
Sometimes huwa wanayakata na kimlio flani hivi kama walivyokuwa wanafanya Bongo Star Search.
Inabidi awe makini.
 

Utaki unaacha!
 
Mkasi Mbona Iko Poaa Kwa Kizazi Hiki Cha Facebook Sidhani Kama Kuna Mtoto Asieelewa Neno Kudinda Kama Akikuuliza Malizana Nae
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…