Futota
JF-Expert Member
- Dec 11, 2010
- 521
- 88
Kweli kabisa mkuu usemayo. Lugha za kutatanisha kama hivi inabidi wawe wanazikwepa ukizingatia hichi kupindi kinaangaliwa na watu wa rika mbali mbali.
Sasa sijui huwa hakuna editing kabla ya kipindi kurushwa? Maana ingeondoa au ku block lugha chafu kama hivi.
Sasa sijui huwa hakuna editing kabla ya kipindi kurushwa? Maana ingeondoa au ku block lugha chafu kama hivi.
Ndallo kuchanganya lugha ya kiswahili na kingereza mimi sioni km ni ttz sn kwasbb kwa saiv ndio kipimo cha usomi wetu,mtu akiongea maneno mawili ya kiswahili akitupia na la kingereza anaonekana ndo msomi!nikirud kwenye mada inabidi dada yetu salama awe makini na baadhi ya maswali yake na kuangalia lugha ya kutumia kwa kipindi chake kinaheshimika sn na kinafatiliwa na watazmaji wengi ila km ataendelea na hiyo tabia atapunguza km c kupoteza kbs watazamaji zaid itaonekana kijiwe cha wahuni wanaokutana saloon kupiga soga km zilivyo saloon zngne za uswahilini!