Salama Jabir, kwa hili jirekebishe!

Salama Jabir, kwa hili jirekebishe!

tenanzinyo

Member
Joined
Dec 28, 2012
Posts
64
Reaction score
23
Habari wana jamii wenzangu!nimatumaini yangu kuwa wengi wenu mmekuwa mkikitazama kipindi maarufu sana cha MKASI kinachorushwa na na kituo cha runinga cha East Africa TV(chanel5) kikiongozwa na mtangazaji mahiri wa kike nchini salama jabiri!kiukweli maudhui ya kipindi ni mazuri sana hususani kwa sisi vijana kwani tunapata fursa adhimu ya kujua maisha ya watu mbalimbali maarufu hapa nchini hususan ktk tasnia ya siasa,michezo,filamu,muziki nk.niwape hongera wote waliobuni kipindi hiki.Tatizo langu mimi ni kuhusu matumizi ya lugha inayotumika wakati wa mahojiano kati ya salama na wageni wake,sometime inakera.ntatoa mfano mmoja wa hivi karibuni wakati anafanya kipindi na jackline wollper wakati majadiliano ya kiendelea alisikika akimwambia john" umedinda"nfkr ni baada ya john kumtazama sn Wollper mwanzoni nikajua labda amepitiwa ila wakarudia tena safari hii na muba na john wakalitamka hilo neno!Ashakum si matusi kwa mtazamo wangu kuna baadhi ya neno hili c matusi lkn ifahamike kwamba kipindi hiki kinatazamwa na watu wa rika tofauti tofauti kuanzia wototo wadogo mpk wazee!hebu upo imagin upo na mtoto wako unaangalia kipindi halafu akuulize hivi baba "kundinda"maana yake nini?cjui utamjibu nini?wito wangu kwa dada salama najua unauwezo mkubwa sana wa kuuliza maswali mazuri lkn kwa hili naomba ajitazame na kujirekebisha!ni mtazamo tu lakini wadau!
 
Na hiyo ndio tofauti tunayotaka kama unataka vipindi vya maneno ya taratibu nenda kaangalia sibuka tv
 
Kila kitu matusi hii nchi bwana.Salama nadhani yupo ndani humu atakuwa amekuelewa lakini.Mistari isije ikadinda bure
 
Mwageni cv yake hapa ndipo mtagundua kama ni mwandishi wa uzoefu tu ama alipitia supplementary kadhaa.
 
Nazani kama issue ni maneno makali yanayotumika katika kipindi, walipaswa kuweka umri wa wanaotakiwa kutazama kipindi hicho.........
 
Kwakuongezea tu kwa mleta mada ni kua Salama tunajua anaijua vizuri lugha Adhim ya kiswahili lakini katika mahojiano yake utamsikia anamuuliza mtu swali kwa kiswahili halafu anachanganya na Kiingereza!!! (Swanglish!!) kulikoni?????
 
Kuhusu lugha ya matusi ndio kuna wakati anatumia lugha ngumu! kama kwa mfano alishawahi kumuuliza Diamond Aisee diamond nasikia totoz zinakukubali sana eti kwakua huko chini sio mchezo eti Unakinyago cha Mpapure!!! Mwisho wa kumnukuu.
 
Ndallo kuchanganya lugha ya kiswahili na kingereza mimi sioni km ni ttz sn kwasbb kwa saiv ndio kipimo cha usomi wetu,mtu akiongea maneno mawili ya kiswahili akitupia na la kingereza anaonekana ndo msomi!nikirud kwenye mada inabidi dada yetu salama awe makini na baadhi ya maswali yake na kuangalia lugha ya kutumia kwa kipindi chake kinaheshimika sn na kinafatiliwa na watazmaji wengi ila km ataendelea na hiyo tabia atapunguza km c kupoteza kbs watazamaji zaid itaonekana kijiwe cha wahuni wanaokutana saloon kupiga soga km zilivyo saloon zngne za uswahilini!
 
Binafsi yangu namkubali Salama Binti Jabir kiishenz...
Na Muungano ukivunjika wallah ntaomba abaki hukuhuku Bara.
 
Kwakuongezea tu kwa mleta mada ni kua Salama tunajua anaijua vizuri lugha Adhim ya kiswahili lakini katika mahojiano yake utamsikia anamuuliza mtu swali kwa kiswahili halafu anachanganya na Kiingereza!!! (Swanglish!!) kulikoni?????

Hayo mambo ya kudinda mi simo.Lakini hili jingine la kuchanganya lugha ni kawaida tu kwenye kiswahili cha wasomi wa kileo,au hujawahi kusikiliza kipindi cha bunge.
Kwanza bila kuchomeka maneno fulani ya kimombo kwenye stori zako watu watajuaje kama umepata English course,watu wamekilipia hicho kimombo,we unataka wakakiongee wapi?Ulaya?
 
Actually mi binti yangu ashawahi niuliza maana ya neno lililotamkwa na mtangazaji wa kipindi flani cha TV (sio Salama Jabir) nikajifanya sijasikia manake lilikuwa halielezeki kwa mtoto wa miaka 12. Akarudia kuniuliza nikawa mkali. Baadae nikagundua nimebugi nikamwambia akamuulize mama yake. Sometime Watangazaji wanatuweka kwenye wakati mgumu sana!
 
kuna siku alikuwa akimhoji diamond, nilikuwa nimekaa na watu ninaowaheshimu sana. Mara akamuuliza mara ya mwisho ku sex ni lini? Diamond akajibu usiku wa kuamukia leo.
Kusema kweli nilijihisi vibaya. Namkubari sana salama lakini kile kipindi hata watoto wanakiangalia ningependa ajiepushe maswali mengine maana ......
 
Nasikia NI SAMENYA WA BONGO huyo tahira, dume jike...!!

... mpuuzi kweli mtoto yule manina zake....
 
Naomba kuuliza SAMENYA maana yake nini?

SEMENYA ni mwanariadha wa Africa ya kusini ambaye baada ya uchunguzi wa madaktari alingundulika ana jinsia mbili za ke na me!that is what i know about semanya!
 
Back
Top Bottom