Salama Jabir punguza usela

Salama Jabir punguza usela

Salama Jabir faida pekee ya muungann ninayoiona kwa sasa.

Mshua ana 70 yrz ila hakosagi mkasi sababu ya salama.
 
Usela wake mwisho mwenye media, huku chumbani mbunye ipo pale palee....
 
Salama Jabir faida pekee ya muungann ninayoiona kwa sasa.

Mshua ana 70 yrz ila hakosagi mkasi sababu ya salama.

mama angu pia yani anaangalia mkasi tu tena mda ukifka utaskia muekeni salama....!
 
Salama akiwa kawaida hawezi kabisa kuvutia kumuangalia.Bora alivo kama kafyatuka ndo wengi wanapenda
 
ulitaka akae home kwenu? ujinga huu.

Hahahaha umepewa za kichwa usiku hadi saivi una hasira😏😏 act like a man wewe mtu mzima! Umetumwa?

Ujinga wangu nini sasa?
 
Labda wengi mmemjua salama kuanzia Bongo star search na Planet Bongo lakini huyu binti alikuwa anafanya kipindi cha mahaba usiku kama Diva.....sauti lainiiiiii na muziki wa taratibu sana kipindi hicho sista du sana tu............Nadhani kuna uhusika alioamua kuvaa ili kuzidi kufanya watu wafatilie vipindi vyake lakini kama ungekuwa umewahi kumsikiliza those days wala usingehofu na muonekano wake wa sasa.....
 
Back
Top Bottom