damtanzania
JF-Expert Member
- Aug 31, 2014
- 752
- 1,464
Swali zuri muulize 'Ataoa lini'?Ni kawaida saana kwenye kipindi chache akiwauliza wasanii au watu maarufu maswali haya; Utaona lini? mbona huna mtoto?
Na akijibiwa kinyumee anashangaa as if yeye ametimiza hivyo na umri una kwenda salama Jabir star wetu unaolewa linii?
Kujaa hapa kujibu.
Hovyooooo, kwa hiyo unajiona upo NY hapo? Hizi chips yai zinakulegeza bas unaona umefiiikaaa? Mmebanana hapo hewa chafu, usafiri shida, bas unajiona upo marekaniSo siku hizi watu wasianzishe thread jf, utasikia ooh wanaume Wa dar, sasa wewe Wa huko porini kwanini usifungue thread yako ya ufugaji nyuki Ama kilimo cha mahindi watu wachangie? Kazi kukaa na kukuna mbupu zenu zilizo liwa na fungus mkisubiria Ku criticize, mnaboa!
Dar ndio mambo yote bwana, acha tuenjoy maisha wakati nyie mnachakaa na kuzeeka huku mkifukuza tumbili maporini.
# proudly Dar member!
Uwieeeeeeeeeeeeeeeee, yeuwiiiiiiiiiiiiiiiiiiYalaaaaaaaaaaaaaah !
Karibu Sana dar, ukija nitafute nikakuonyeshe baba yako mzazi alipoHovyooooo, kwa hiyo unajiona upo NY hapo? Hizi chips yai zinakulegeza bas unaona umefiiikaaa? Mmebanana hapo hewa chafu, usafiri shida, bas unajiona upo marekani
dah we jama umenichekesha sana waende kwenye jukwa lao la kilimoNa nyie wanaume wa mikoani si muende kwenye jukwaa lenu la kilimo?
Hahaah atakuwa wa DarMkuu unatoka mkoa gani,?
So siku hizi watu wasianzishe thread jf, utasikia ooh wanaume Wa dar, sasa wewe Wa huko porini kwanini usifungue thread yako ya ufugaji nyuki Ama kilimo cha mahindi watu wachangie? Kazi kukaa na kukuna mbupu zenu zilizo liwa na fungus mkisubiria Ku criticize, mnaboa!
Dar ndio mambo yote bwana, acha tuenjoy maisha wakati nyie mnachakaa na kuzeeka huku mkifukuza tumbili maporini.
# proudly Dar member!
Unachukia mkoa, duh! Hatari kubwa , chukia umaskini weweKati ya mikoa naichukia kuishi ni dar...mji mchafu,joto kali,foleni ndo usiseme..japo unaraha zake nyingi tu
Ataolewa na John wa mkasi tv....
mayai yake ashauzia wachoma chips wa darPole kiongozi bet jioni.
Anasubiri mayai yakutane
Wewe ni mpenda makalio makubwa sasa salama hakufai.Hebu mwacheni mke wangu
Unachukia mkoa, duh! Hatari kubwa , chukia umaskini wewe
Atayatengeneza tu kama madamWewe ni mpenda makalio makubwa sasa salama hakufai.
Mkuu una type kwa visigino au?Dar..kwani VP..basi Na yy aachee kushangaa mwenzakee ambaoo waneamua kuuchuna kama Ndo ivyoo kinachomfanya MTU kama hajaoa ana juolewa au kutokuzaa anampindaa mpaka anasimama if that us a case..Salama Jabil utaolewa link. Tofautisha Na utazaa lini