Salama Jabir utaolewa lini?

Salama Jabir utaolewa lini?

So siku hizi watu wasianzishe thread jf, utasikia ooh wanaume Wa dar, sasa wewe Wa huko porini kwanini usifungue thread yako ya ufugaji nyuki Ama kilimo cha mahindi watu wachangie? Kazi kukaa na kukuna mbupu zenu zilizo liwa na fungus mkisubiria Ku criticize, mnaboa!
Dar ndio mambo yote bwana, acha tuenjoy maisha wakati nyie mnachakaa na kuzeeka huku mkifukuza tumbili maporini.
# proudly Dar member!
 
Ni kawaida saana kwenye kipindi chache akiwauliza wasanii au watu maarufu maswali haya; Utaona lini? mbona huna mtoto?

Na akijibiwa kinyumee anashangaa as if yeye ametimiza hivyo na umri una kwenda salama Jabir star wetu unaolewa linii?

Kujaa hapa kujibu.
Swali zuri muulize 'Ataoa lini'?
 
So siku hizi watu wasianzishe thread jf, utasikia ooh wanaume Wa dar, sasa wewe Wa huko porini kwanini usifungue thread yako ya ufugaji nyuki Ama kilimo cha mahindi watu wachangie? Kazi kukaa na kukuna mbupu zenu zilizo liwa na fungus mkisubiria Ku criticize, mnaboa!
Dar ndio mambo yote bwana, acha tuenjoy maisha wakati nyie mnachakaa na kuzeeka huku mkifukuza tumbili maporini.
# proudly Dar member!
Hovyooooo, kwa hiyo unajiona upo NY hapo? Hizi chips yai zinakulegeza bas unaona umefiiikaaa? Mmebanana hapo hewa chafu, usafiri shida, bas unajiona upo marekani
 
dah mi hata sijawahi akitoka kimapenz na mtu flani.
 
Rejea mkasi ya j3, salama alimuuliza chege una mtoto? chege akasema ndio, na chege akamuuliza salama kuwa wewe una mtoto?,,, hata ay, fid q, pia walishamuuliza. Kuolewa au kuoa ipo tu kama mungu amepanga iwe, sio salama tu kuna wengine tunao mtaani watu waxima ila hawakuolewa, hawakuoa wala kuzaa. Tusubiri tu
 
So siku hizi watu wasianzishe thread jf, utasikia ooh wanaume Wa dar, sasa wewe Wa huko porini kwanini usifungue thread yako ya ufugaji nyuki Ama kilimo cha mahindi watu wachangie? Kazi kukaa na kukuna mbupu zenu zilizo liwa na fungus mkisubiria Ku criticize, mnaboa!
Dar ndio mambo yote bwana, acha tuenjoy maisha wakati nyie mnachakaa na kuzeeka huku mkifukuza tumbili maporini.
# proudly Dar member!

Kati ya mikoa naichukia kuishi ni dar...mji mchafu,joto kali,foleni ndo usiseme..japo unaraha zake nyingi tu
 
Dar..kwani VP..basi Na yy aachee kushangaa mwenzakee ambaoo waneamua kuuchuna kama Ndo ivyoo kinachomfanya MTU kama hajaoa ana juolewa au kutokuzaa anampindaa mpaka anasimama if that us a case..Salama Jabil utaolewa link. Tofautisha Na utazaa lini
Mkuu una type kwa visigino au?
 
Back
Top Bottom