Salama na Fatma Karume (Shangazi)

Wanahabari wa Tanzania wengine ovyo sana.

Unamuita mtu kwenye mahojiano, anataka kufunguka, halafu unamkataza mengine asiongee?

Upumbavu gani huu?
For sure, it doesn't make sense. Mtangazaji ji anaonyesha hofu isiyokuwepo kwa mgeni wake. Anapoteza fursa ya kufanya mahojiano yake yawe bora zaidi.
 
Very true mfano mimi uwa nina tabia ya kuwaambia akina dada kwanini uwa wanachukua ushauri kwa hawa wakina mama wanaonekana kwenye tv au redio ambao hawana waume kuwashauri kuhusu ndoa.
Ingekuwa hivi tusingechukua ushauri wa kielimu kwa wazazi wetu ambao hawajasoma. Kumbuka kushauri ni utaalamu si kila aliye kwenye ndoa basi anaweza kushauri. Asilimia kubwa ya walio kwenye ndoa huwa ni "vumilia, kuwa mvumilivu" hawajui kiasi gani ndoa hiyo unakuua taratibu na mtu akishakufa ndio wanasema kwanini hakukimbia etc

Mungu Ibariki Tz - MITz
 
Shangazi hana watoto, sivyo?
 
Whitney Houston alishindwa ndoa, baadae akaanzisha ofisi ya counselling kuhusu ndoa. Kumbe anashauri lakini yeye ana stress mpaka kafa kwa drug overdose. Ni ngumu sana kuchukua ushauri kwa mshauri ambaye haishi kile anachoshauri.
Maana yangu siyo kwamba wanatoa ushauri mbaya, ila uwa hilo wazo linanipitia inakuwaje aliyeshindwa ndoa amshauri mwenzake jinsi ya kutunza ndoa?
 
Nime kushambulia wewe au Fatma?

Nimeenda personal sababu unavyo muongelea huyo mama utazani unajua mishe zake za kumuingizia hela,unajua account zake zina kiasi gani mpaka kumlia yamini,ndio maana NIKAKUSHANGAA.

We mbona maswali yangu hujajibu,ukijibu maswali yangu utapata majibu ya maswali yako.

Punguza MAHABA.
 
Hata mbuzi nao wanazalishana, basi usijigambe na kujimwambafai kwa kitu ambacho hata mende anakiweza. [emoji221][emoji221]
Halafu watu huwa wanachukulia kutungisha mimba kama ishu kuuubwaaa!!

Hayo mamikojo yakishaingia kwenye yai, mchakato unaofuata ni purely natural.

Yaani kukojoa hivyo vishahawa basi ndo kujiona kiduumee! Aiseee..

Huwa wanazungumza kana kwamba wanamtengeneza mtoto tumboni kwa kutumia mikono au mashine fulani!
 

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Brother sio vita hii maana inaonekana nimekuboa sana. tufanye yaishe mkuu
 
Nimesikiliza interview. Mtu anayeongea kwa emotions ni vigumu sana kumsikiliza. Licha ya kuwa mtetezi wa haki lakini emotionally hayupo stable. Salama amekuwa calm sana ku deal naye.
 
Wanaogopa faini kubwa au kufungiwa kufanya kazi pale mzungumzaji atakapoongea mambo yanayowakera wakubwa.
Faini zaidi ya kuzuiwa kufanya kazi ni ya kuzuia mtu kujieleza.

Kazi unaweza kupata nyingine popote.

Lakini kujieleza popote itakapofanya kazi kwa haki utatakiwa kijieleza.
 
Polisi na jeshi Ni Mambo ya muungano , hayamuhusu Rais wa Zanzibar , ndio maana mkapa akasema anajutia Hilo la watu kuuwawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…