mbona wabongo mmezidi kuwa sadists
unajua kuwa mtoto wa rais wa Angola yupo katika top 5 ya wanawake tajiri bara la Africa, unaweza kulinganisha nini na Fatma Karume.. Fatma Karume ana utajiri kiasi gani ??..
Fatma Karume kusoma shule nzuri na kupata privilledges kutokana na jina la familia yake haina tofauti na mtu wa middle class anavyochukuliwa na watu maskini kuwa kapendelewa. Bro its natural hata yeye alisema hakuchagua kuwa familia ile the same kwako
Nchi hii watoto wa viongozi ni wangapi wenye exposure kubwa, mbona wapo kimya na hamsemi. Mtu kajitolea kuongea na amepoteza fursa kibao lakini kwako wewe umeona kuongea kuhusu baba yake ndio big issue kuliko impact ya harakati zake, are you serious !!...
ok Maria na Fatma wanapata nini kwa kuongea vile hadi uhisi ni wanafki na hawamaanishi wanachokisema ???...
tuseme Maria na Karume wakae pembeni ili ufurahi, do you have balls za kufanya wanachokifanya ???....