Salama na Fatma Karume (Shangazi)

Shangazi yuko very composed..... [emoji106][emoji106]
Huyu dada kabeba elimu kubwa sana kuliko nzi wote wa kijani,kamshauri baba yake akiwa rais abadili sheria za kunyima mtu dhamana...huyu na dk mwele ndio watoto wa viongozi wenye upeo mkubwa
 
Poa poa mkuu..... Tuko pamoja
 
Huyu dada kabeba elimu kubwa sana kuliko nzi wote wa kijani,kamshauri baba yake akiwa rais abadili sheria za kunyima mtu dhamana...huyu na dk mwele ndio watoto wa viongozi wenye upeo mkubwa
Ni watoto wachache sn wa viongozi wako bright na independent km Fatma....

She is very exceptionalπŸ’ͺπŸ’ͺ
 
Ana mume,hata kwenye interview kaweka wazi,Jaribu kuitafuta YouTube.
Na huyo mume wake walikutana kipindi fatuma ana miaka 16, kwa sasa Fatuma ana miaka 51. watoto hajaongelea so naamini atakuwa nao.
Na watoto pia aliwagusia...son and daughter! Ana watoto wawili kwa maelezo yake
 
Nimesikiliza interview. Mtu anayeongea kwa emotions ni vigumu sana kumsikiliza. Licha ya kuwa mtetezi wa haki lakini emotionally hayupo stable. Salama amekuwa calm sana ku deal naye.
Ahahaha ni mtata huyo...gari likiwaka ana msemo wake 'ushaniskia'
 
Duh! Umetapika nyongo. Unafiki sio dili
 
Kama zamani hawakuongea wakae kimya waache unafiki.
Swala lautajiri ni akili inavyotumika kuhandle mali kama walikuwa wanajirusha kaama Mobutu seseko kukuwa Kubanga. Tutajuaje?
 
Shangazi kichwani ana kitu ila tu kuna mambo machache ambayo naona anajichanganya Sijawahi kuelewa Vision ya huyu bibie mana kama kuhold Top positions hata kwa Zenj itakuwa ngumu
 
Chagua ccm upate maendeleo

Maendeleo hayaaaana chaaaamaaa.

Magufuli (2017)
Mkuu kwa mujibu wa magufuli maendeleo yana chama ila udikteta hauna chama wote tunaisoma namba pamoja
Cc: Bungala
 
Ahsante sana Mkuu. Shangazi alistahili kukatiza mahojiano pale pale na kuondoka.

Wanahabari wa Tanzania wengine ovyo sana.

Unamuita mtu kwenye mahojiano, anataka kufunguka, halafu unamkataza mengine asiongee?

Upumbavu gani huu?
 
πŸ‘ŠπŸ½πŸ‘ŠπŸ½πŸ‘ŠπŸ½πŸ‘πŸ½

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…