Lord Diplock MR
JF-Expert Member
- Mar 16, 2015
- 1,393
- 3,237
Salama Jabir yupo vizuri mno.Wanajamvi, leo naomba tujadili nani mkali kati ya watangazaji hawa wawili wa kike, Zamaradi mketema wa Zamaradi tv na Salama Jabir wa Yahstone town. Je ni nani kati yao anao uwezo mkubwa sana wa kufanya mahojiano na watu maarufu. Yupi unamkubali kwa maswali yaliyokwenda shule?
Kipindi kinaitwa Salama na marafiki zake.Wote wabovu kabisa..
Huyo Zamaradi hajui hata amchague nani amhoji ..yeyote anae trend insta ..wanakuja kumhoji..Mara Gigi money mara Amber Rutty..
Watu wa maana hawafanyiwi interview..
Salama ndo kabisa.. maswali ya kijinga kabisa
Kipindi kinaitwa Salama na marafiki zake.
Theme ni anaalika mshikaji zake wanapiga story.
Sijui maswali ya maana kwako ni yepi lakini nafikiri wewe sio target ya vipindi vya awa wadada.
Ili ufurahi inabidi ushinde unamtaza Hamza Kasongo au tazama Dakika 45 cha ITV. Hao ndio utawaelewa.
Yes, kama ulikuwa hujui.Na JK ni rafiki yake??
Kipindi kinaitwa Salama na marafiki zake.
Theme ni anaalika mshikaji zake wanapiga story.
Sijui maswali ya maana kwako ni yepi lakini nafikiri wewe sio target ya vipindi vya awa wadada.
Ili ufurahi inabidi ushinde unamtaza Hamza Kasongo au tazama Dakika 45 cha ITV. Hao ndio utawaelewa.
Ulipewa ban ulifanyeje?Salama.
Wacha kulinganisha Salama na vitu vya kijingaWanajamvi, leo naomba tujadili nani mkali kati ya watangazaji hawa wawili wa kike, Zamaradi mketema wa Zamaradi tv na Salama Jabir wa Yahstone town. Je ni nani kati yao anao uwezo mkubwa sana wa kufanya mahojiano na watu maarufu. Yupi unamkubali kwa maswali yaliyokwenda shule?
Sauda Mwilima!!? Huyu mweupe kabisaa, sijui yuko wapi siku hizi!Ungeweka Zamaradi na SAUDA MWILIMA