Salama vs Zamaradi tukate mzizi wa fitna leo

Lord Diplock MR

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2015
Posts
1,393
Reaction score
3,237
Wanajamvi, leo naomba tujadili nani mkali kati ya watangazaji hawa wawili wa kike, Zamaradi mketema wa Zamaradi tv na Salama Jabir wa Yahstone town.

Je, ni nani kati yao anao uwezo mkubwa sana wa kufanya mahojiano na watu maarufu. Yupi unamkubali kwa maswali yaliyokwenda shule?
 
Wote wabovu kabisa..

Huyo Zamaradi hajui hata amchague nani amhoji ..yeyote anae trend insta ..wanakuja kumhoji..Mara Gigi money mara Amber Rutty..

Watu wa maana hawafanyiwi interview..

Salama ndo kabisa.. maswali ya kijinga kabisa
 
Wanajamvi, leo naomba tujadili nani mkali kati ya watangazaji hawa wawili wa kike, Zamaradi mketema wa Zamaradi tv na Salama Jabir wa Yahstone town. Je ni nani kati yao anao uwezo mkubwa sana wa kufanya mahojiano na watu maarufu. Yupi unamkubali kwa maswali yaliyokwenda shule?
Salama Jabir yupo vizuri mno.
 
Wote wabovu kabisa..

Huyo Zamaradi hajui hata amchague nani amhoji ..yeyote anae trend insta ..wanakuja kumhoji..Mara Gigi money mara Amber Rutty..

Watu wa maana hawafanyiwi interview..

Salama ndo kabisa.. maswali ya kijinga kabisa
Kipindi kinaitwa Salama na marafiki zake.

Theme ni anaalika mshikaji zake wanapiga story.

Sijui maswali ya maana kwako ni yepi lakini nafikiri wewe sio target ya vipindi vya awa wadada.

Ili ufurahi inabidi ushinde unamtaza Hamza Kasongo au tazama Dakika 45 cha ITV. Hao ndio utawaelewa.
 
Na JK ni rafiki yake??
 
Kipindi kinaitwa Salama na marafiki zake.

Theme ni anaalika mshikaji zake wanapiga story.

Sijui maswali ya maana kwako ni yepi lakini nafikiri wewe sio target ya vipindi vya awa wadada.

Ili ufurahi inabidi ushinde unamtaza Hamza Kasongo au tazama Dakika 45 cha ITV. Hao ndio utawaelewa.

Na JK ni rafiki yake??
 
Wanajamvi, leo naomba tujadili nani mkali kati ya watangazaji hawa wawili wa kike, Zamaradi mketema wa Zamaradi tv na Salama Jabir wa Yahstone town. Je ni nani kati yao anao uwezo mkubwa sana wa kufanya mahojiano na watu maarufu. Yupi unamkubali kwa maswali yaliyokwenda shule?
Wacha kulinganisha Salama na vitu vya kijinga
 
Back
Top Bottom