Salama vs Zamaradi tukate mzizi wa fitna leo

Wekeni picha zao basi, mm siwafahamu hao wadada pia muweke na no, zao za cm ili tuwaulize na wao waseme nani mkali kuliko mwenzake.
 
Hivi hili neno "trend" halina kiswahili!!? maana kila sehemu naona linatajwa kama lilivyo, tafadhali mkuu naomba unisaidie tafsiri yake "trend"
 
Yaani ni kutokufahamika tu, ila huyu salama jabri, ningekua navinjari nae mawinguni zinapopita air bus au air force one...!!!!!!
Watuone watutambue , napenda sana wadada wanaojichia sijui kwa nini...!!

Sent from my Infinix X655C using JamiiForums mobile app
 
Acha uongo, mwina kaduguda ni rafiki wa salama? Nizar khalfan?
 
Tatizo la Zama anajiona mkubwa kwenye tasnia, sifa zina au zimemponza...

Kwanza production quality ya vipindi vyake ipo chini sana, na hata ile studio yake pale sijui ni ukumbini kaweka tu background color...

Mara nyingi watu anaowahoji kwa haraka haraka ni wale wanaotrend, hivyo katika soko la habari sioni kama ana target kukua (ataendelea kuwa na mashabiki wale wale wapenda upashkuna)...

Salama kwa kiasi fulani production yake ni nzuri sana kuanzia intro ya kipindi, sauti, picha, mandhari ya mahali kipindi kinarekodiwa (studio) na mazungumzo yake huwa yanalenga kuelimisha zaidi kupitia maisha waliyoyapitia wageni wake kwa ujumla...
 
Mimi salama huwa namfananisha na Ellen, wa the Ellen show ...wanaburudisha na huchoki kuwatazama...
Ila zama Mimi simuelewi kwa kweli, kwenye kuhoji bado sana....saa nyingine unakuta swali moja anauliza hata mara tano. Anabadili lugha tu...kipindi Cha saa2 ameuliza maswali mapya matatu tu..mengine yote yamejirudia rudia na hayana mantiki yoyote.
 
Salama and Ellen wamefanana sana style zao😊
 
Salama vs Zamaradi.....?

Mkuu hujamtendea haki Salama, simfahamu kiundani Zamaradi lkn na amini hata yeye binafsi mahala fulani katika moyo wake an respect yakutosha kwa grand master her self,

Kwauchache....
Panet Bongo
FNL
Mkasi
Salama na. .

Japo kuna maboresho kidogo ningetamani kuona Salama anafanya katika kipindi chake cha sasa hivi (Salama na ...)

Sent from my A1601 using JamiiForums mobile app
 
Wooote nimewapa Like kama hujapata like ujue kuna kitu kwako hakipo sawa, lol,

Zamaradi anaambiwa kwenye kipindi chako weka maji na tissue mpaka leo anajifanya kichwa ngumu, kapooza yaan kama anayehojiwa na yeye kapooza mtazamaji unaweza jikuta unasinzia,

Salama J ni bomba imagine hadi my mom anaangalia vipindi vyake (bi mkubwa hapitwi na yeye),

Wasanii wa bongo flavor wa zamani wanamuheshimu sana jinsi alivyowashape kupitia vipindi vyake vya Salama Bongo hadi Planet Bongo, aliishi kwenye future na wale waliomsikiliza matunda wanayaona,

Kipindi cha sasa cha Salama na.... unaona kabisa mtu akikaa pale anakaa kwa heshima hajibu maswali kishamba kama afanyavyo kwenye interviews za watu wengine.
 
Wana njia tofauti za kufanya interview, na Salama katika interview zake yuko makini sana asimuumize kihisia mtu anayemfanyia interview na mara nyingi halazimishi mtu kujibu asichopenda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…