Mapank
JF-Expert Member
- Mar 8, 2011
- 4,130
- 6,097
Sauda Mwilima!!? Huyu mweupe kabisaa, sijui yuko wapi siku hizi!
Huyu sijui alipoteleaga wapi tu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sauda Mwilima!!? Huyu mweupe kabisaa, sijui yuko wapi siku hizi!
Wekeni picha zao basi, mm siwafahamu hao wadada pia muweke na no, zao za cm ili tuwaulize na wao waseme nani mkali kuliko mwenzake.Wanajamvi, leo naomba tujadili nani mkali kati ya watangazaji hawa wawili wa kike, Zamaradi mketema wa Zamaradi tv na Salama Jabir wa Yahstone town. Je ni nani kati yao anao uwezo mkubwa sana wa kufanya mahojiano na watu maarufu. Yupi unamkubali kwa maswali yaliyokwenda shule?
Hutaki!?Na JK ni rafiki yake??
Acha uongo, mwina kaduguda ni rafiki wa salama? Nizar khalfan?Kipindi kinaitwa Salama na marafiki zake.
Theme ni anaalika mshikaji zake wanapiga story.
Sijui maswali ya maana kwako ni yepi lakini nafikiri wewe sio target ya vipindi vya awa wadada.
Ili ufurahi inabidi ushinde unamtaza Hamza Kasongo au tazama Dakika 45 cha ITV. Hao ndio utawaelewa.
Na mwina kaduguda ni rafiki yake?Yes, kama ulikuwa hujui.
Kwani nini ni uongo? Au rafiki wewe unaelewaje?Acha uongo, mwina kaduguda ni rafiki wa salama? Nizar khalfan?
Salama and Ellen wamefanana sana style zao😊Mimi salama huwa namfananisha na Ellen, wa the Ellen show ...wanaburudisha na huchoki kuwatazama...
Ila zama Mimi simuelewi kwa kweli, kwenye kuhoji bado sana....saa nyingine unakuta swali moja anauliza hata mara tano. Anabadili lugha tu...kipindi Cha saa2 ameuliza maswali mapya matatu tu..mengine yote yamejirudia rudia na hayana mantiki yoyote.
Mkuu Jk alikwenda pale baada ya kuona kuwa nature ya maswali ya kipindi kile ni ya kirafiki, sidhani kama angekanyaga pale Kama kipindi kingekuwa na elements za hardtalkNa JK ni rafiki yake??
Salama vs Zamaradi.....?Wanajamvi, leo naomba tujadili nani mkali kati ya watangazaji hawa wawili wa kike, Zamaradi mketema wa Zamaradi tv na Salama Jabir wa Yahstone town. Je ni nani kati yao anao uwezo mkubwa sana wa kufanya mahojiano na watu maarufu. Yupi unamkubali kwa maswali yaliyokwenda shule?
Wana njia tofauti za kufanya interview, na Salama katika interview zake yuko makini sana asimuumize kihisia mtu anayemfanyia interview na mara nyingi halazimishi mtu kujibu asichopenda.Wanajamvi, leo naomba tujadili nani mkali kati ya watangazaji hawa wawili wa kike, Zamaradi mketema wa Zamaradi tv na Salama Jabir wa Yahstone town. Je ni nani kati yao anao uwezo mkubwa sana wa kufanya mahojiano na watu maarufu. Yupi unamkubali kwa maswali yaliyokwenda shule?