[emoji23] [emoji23] [emoji23] una huo ujasiri kweliHe he
Shunie mm huyo naanzaje nakuangalia kwa macho makavu
Whatsaap unatumia no ipi eti mana jf upo online nimekutext WhatsApp ipo tick mojaWelkam back katibu..
Mama si wajua simu yangu majanga? Niko na namba ya siku zote ile mefungua kale ka ubuyu umenipa simu ikastackWhatsaap unatumia no ipi eti mana jf upo online nimekutext WhatsApp ipo tick moja
Mama si wajua simu yangu majanga? Niko na namba ya siku zote ile mefungua kale ka ubuyu umenipa simu ikastack
Sent from my HUAWEI Y530-U00 using JamiiForums mobile app
Katibu nakuomba PM plizAmani iwe juu yenu
Awali ya yote napenda kumshukuru mungu kwa kuniwezesha kua hai na mzima wa afya kwa kipindi chote ambacho nilikua kifungoni(ban) mpaka sasa.......Hakika nilikua katika wakati mgumu sanaa wakati niko banned sababu jf ni kila kitu kwangu ila nashukuru kifungo changu kimeisha na hatimae nimerudi tena .....
kwa upweke nilioupata nikiwa nje ya jf nathubutu kusema sitorudia makosa ambayo yatanipelekea kua kifungoni tena.....
Nawatakia weekend njema
Zeshchriss
Katibu mtendaji wa wadangaji jf
Mwenyekiti naona unamkalibisha katibu wako.Welkam back katibu..
Hata sielewi pa kuzimia hiyo signature naona chenga chenga tu mie. Ngoja niokote hela ninunue simu haka kadude kamenifika hapaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka yaan nakuonea huruma weka signature off
Mambo ya wanawake na kikundi chao cha kudanga yakupitege. Mwenyekiti humjui tuliza mshonoMwenyekiti naona unamkalibisha katibu wako.
Safi kabisa .
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Mambo ya wanawake na kikundi chao cha kudanga yakupitege. Mwenyekiti humjui tuliza mshono
Hata sielewi pa kuzimia hiyo signature naona chenga chenga tu mie. Ngoja niokote hela ninunue simu haka kadude kamenifika hapaa
Ban inakupa mawazo. Ni sawa tu na kutumbuliwambona mkipigwa ban lazma muanzishe Uzi kwann?? mkuu
Pole mkuu. BAN ilinitesa sanaAmani iwe juu yenu