Salamu baada ya kutoka kifungoni

Salamu baada ya kutoka kifungoni

Amani iwe juu yenu

Awali ya yote napenda kumshukuru mungu kwa kuniwezesha kua hai na mzima wa afya kwa kipindi chote ambacho nilikua kifungoni(ban) mpaka sasa.......Hakika nilikua katika wakati mgumu sanaa wakati niko banned sababu jf ni kila kitu kwangu ila nashukuru kifungo changu kimeisha na hatimae nimerudi tena .....
kwa upweke nilioupata nikiwa nje ya jf nathubutu kusema sitorudia makosa ambayo yatanipelekea kua kifungoni tena.....

Nawatakia weekend njema
Zeshchriss
Katibu mtendaji wa wadangaji jf
Katibu nakuomba PM pliz
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka yaan nakuonea huruma weka signature off
Hata sielewi pa kuzimia hiyo signature naona chenga chenga tu mie. Ngoja niokote hela ninunue simu haka kadude kamenifika hapaa
 
Amani iwe juu yenu

Awali ya yote napenda kumshukuru mungu kwa kuniwezesha kua hai na mzima wa afya kwa kipindi chote ambacho nilikua kifungoni(ban) mpaka sasa.......Hakika nilikua katika wakati mgumu sanaa wakati niko banned sababu jf ni kila kitu kwangu ila nashukuru kifungo changu kimeisha na hatimae nimerudi tena .....
kwa upweke nilioupata nikiwa nje ya jf nathubutu kusema sitorudia makosa ambayo yatanipelekea kua kifungoni tena.....

Nawatakia weekend njema
Zeshchriss
Katibu mtendaji wa wadangaji jf
Pole mkuu. BAN ilinitesa sana
 
kumbe una cheo cha katibu mtendaji wa wadangaji njoo pm haraka ukutane na mwenyekiti wa CHAPUTA tuyajenge vizuri
We utakua umeathirika kisaikolojia kutokana na punyeto......ni nadanga na mashine ifanye kazi haswa
 
Back
Top Bottom