Prof Janabi wa JF
Senior Member
- Jul 7, 2023
- 189
- 490
Katika lawama za wachina kuwepo nchini, reference ya watu wengi ni vitu kuwa bei nafuu. Kwa miaka kadhaa watu wamelalama vitu kuwa bei juu inakuwaje sasa watu wanaanza kulaumu vitu kuwa bei nafuu?
Je, wanaolalama vitu bei nafuu ni kwa manufaa ya nani?
Suala la soko la ndani hoja nyingine ambayo inajipinga. Je tunataka kulinda wawekezaji au labour force (nguvu kazi). Kama kulinda wawekezaji wa ndani, je ni kuzuia uwekezaji wa nje au kuboresha mazingira ya ndani kunakosaidia wawekezaji wa ndani kufanya vizuri?
Kama tunalinda labour force, tunailindaje wakati miaka yote tumesisitiza wakalime wasifanye kazi mjini, tumekimbizana na wamachinga kwamba wanachafua mji nk??
Naangalia siasa za TZ naangalia na malalamiko ya waTz dhidi ya siasa za kimataifa na naona kuna shida pahala. Trump anatimua watu warudi kwao ila wadau wanaona anakosea. TZ kuabza kuhofia wachina na kutaka warudi kwao ni sahihi?
Mnadhani Iddi Amini alikosea kutimua wageni wakati wa utawala wake? Hapa sijaweka msimamo wangu ni upi nimetoa maswali ya kureflect tu.
Salamu kutoka kwa Trump.
Muwakilishi wa nchi.