Prof Janabi wa JF
Senior Member
- Jul 7, 2023
- 165
- 450
Mbali na uwepo wa supermarkets(Stores) nyingi huku Marekani, pia yako masoko ya wakulima au wanaita Farmers Market, at least kwa hapa nilipo sijui majimbo mengine kama kuna farmers markets.
Masoko yako mengi ambayo hufanyika mara moja kwa wiki. Lakini kwa kuwa yako tofauti unaweza ukainjoi tu. Yaani ni sawa na nyama za mbuzi Dar kuna Jumamosi mbuzi choma inapatikana Loliondo(Kibaha) Jumapili inapatikana Madale. Kwa wataalamu wa nyama za mbuzi wanaelewa.
Basi nikatinga kutafyta zaga zangu mara paap nakuta jamaa anauza ndulele au kikwetu tunasema tulatula. Nikasema nyumbani tunaona majani kumbe mtu anaweza kukusanya kontena akaleta huku akapiga hela. Haya nimeshwapa Idea. Chumeni ndulele safirisheni kuja US.