Salamu kutoka Marekani: Ndulele/Ndulandula/Tulatula ni biashara nzuri

Salamu kutoka Marekani: Ndulele/Ndulandula/Tulatula ni biashara nzuri

images - 2024-09-08T075432.637.jpeg
images - 2024-09-08T075432.637.jpeg
 
Unajua ulimbukeni ni Mbaya sana. Jamaa kila siku ni kushusha uzi yupo Marekani so what?

Huu uzi kauleta kwa kejeli na hajafanya utafiti wake kabla ya kuuandika. Hakuna ndulele/ndulandula(Datura strominium) hapo ila Kakurupuka.

Tunajua JF ni sehemu ya kutoa depression za vijana na kupost vitu ambavyo ana viimergene au ana viwish kwenye maisha yake but muwe mnaweza kabla ya kuandika.
Nadhani ni wewe ndio unaona ni ulimbukeni.

Mfano akipost kila siku yuko Namtumbo ungesema hivyohivyo.
Jibu ni hapana.

Jiulize kwanni.
 
Unajua ulimbukeni ni Mbaya sana. Jamaa kila siku ni kushusha uzi yupo Marekani so what?

Huu uzi kauleta kwa kejeli na hajafanya utafiti wake kabla ya kuuandika. Hakuna ndulele/ndulandula(Datura strominium) hapo ila Kakurupuka.

Tunajua JF ni sehemu ya kutoa depression za vijana na kupost vitu ambavyo ana viimergene au ana viwish kwenye maisha yake but muwe mnaweza kabla ya kuandika.
Mtoa mada anashambuliwa tu kwa sababu ameshindwa kuiweka mada yake vizuri na ikaonekana kana kwamba anatumia kick ili aonekane kuwa yupo Marekani.
Lakini Ukweli ni kwamba Ndulele(Solanum incanum) sio Datura stromonium. Datura stromonium 👉
1725817126746.png
ni Jimson weed au Devils Apple. Ni sumu. Hapo kwenye picha iliyobandikwa HAIPO.
Ndulele (solanum incanum)ikiwa changa kabisa inaweza kuliwa (e.g. huko Kiteto- Kibaya niliziona sokoni huuzwa msimu ukifika) aghalabu kuchanganywa kwenye Mlenda.
1725817650688.png

Ndulele 👆 👆 sehemu nyingine hutumika kama dawa.
 
Back
Top Bottom