Salamu kutoka Marekani: Ndulele/Ndulandula/Tulatula ni biashara nzuri

Nadhani ni wewe ndio unaona ni ulimbukeni.

Mfano akipost kila siku yuko Namtumbo ungesema hivyohivyo.
Jibu ni hapana.

Jiulize kwanni.
 
Mtoa mada anashambuliwa tu kwa sababu ameshindwa kuiweka mada yake vizuri na ikaonekana kana kwamba anatumia kick ili aonekane kuwa yupo Marekani.
Lakini Ukweli ni kwamba Ndulele(Solanum incanum) sio Datura stromonium. Datura stromonium 👉 ni Jimson weed au Devils Apple. Ni sumu. Hapo kwenye picha iliyobandikwa HAIPO.
Ndulele (solanum incanum)ikiwa changa kabisa inaweza kuliwa (e.g. huko Kiteto- Kibaya niliziona sokoni huuzwa msimu ukifika) aghalabu kuchanganywa kwenye Mlenda.

Ndulele 👆 👆 sehemu nyingine hutumika kama dawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…