Salamu Kutoka Marekani: Nimeuliza kitabu/filamu inayoweza kumfanya mtu aijue Tanzania

Salamu Kutoka Marekani: Nimeuliza kitabu/filamu inayoweza kumfanya mtu aijue Tanzania

Prof Janabi wa JF

Senior Member
Joined
Jul 7, 2023
Posts
165
Reaction score
450
Well! Well! Well! Well!, Mshamba kutoka Tanzania mikoa ya ndani ndani anayewakilisha taifa huku kwa Biden Marekani, nilipata kukutana na washika dau kadhaa. Mimi nimekuja kishamba zaidi ili kuonesha natokea wapi. Basi huwa naeleza kwa kujiamini tu kwamba mimi ni Mtanzania. Nawapiga mikwara na story za Serengeti na Ngorongoro, na kutaja mbuga nyingine kibao.

Basi jamaa mmoja akasema anataka kujua zaidi ila anataka nirecommend kitabu au filamu inayoielezea Tanzania. Nikawaza harakaharaka, nikamwambia kwa filamu kaangalie "Royal Tour" japo filamu ile imekosa mambo mengi ya kiutalii ndani ya Tanzania. Nikamwambia tu filamu iko bure YouTube asihangaike.

Maana movie nyingine ninazozijua ni za wanyama moja kwa moja. Ila kwenye kitabu pia nikakwamba, maana sijui kitabu hata kimoja kinachoweza kumpa mtu picha ya Tanzania.

Kwenye wanazengo, kama mna movie au vitabu mnavyoona vinaitambulisha Tanzania mnitajie ili ikitokea tena niweze kuitangaza nchi vizuri huku.

Salamu kutoka Marekani.
 
images (2).jpeg

Hichi nadhani kitafaa zaidi😎
 
Waambie waangalie TBC kuna Chanel ya SAFARI, hivi umemaliza kilchokupeleka huko Yues A?
 
Back
Top Bottom