Salamu kwa uongozi wa Simba

Umeongea vitu vya maana inawezekana matola ana ukaribu sana na wachezaji wamchukue kocha msaidizi mwingine, shabalala hawezi uongozi Kuna kipindi wachezaji wa Simba walikwenda kumlalamikia mwamuzi yeye alikaa mbali wakati Ile ni nafasi yake,
Wachezaji kama Kapombe Huwa wanajitolea Asilimia zote kwenye derby unawaweka nje huu ni upumbavu
 
Acheni mawazo ya uchawi, chezeni mpira wa kueleweka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…