Salamu kwenu Atheist wa Jamii Forums

Lakini alisema Magugu yatachomwa moto sasa hatutaki magugu
Yeye Mungu kama aliacha ngano na magugu vikue pamoja, Wewe ni nani wa kusema hutaki magugu?

Unaona unavyo jichanganya mwenyewe?

Huyo Mungu kama aliacha ngano na magugu vikue pamoja, Basi akae kwa kutulia akufuriwe vya kutosha mpaka pale atakapo pata akili ya kutenganisha ngano na magugu.

Maana huyo Mungu wenu inaonekana hajielewi kabisa.
yachomwe moto ndio maana tunakumbushana 🤣.
 
Unamatatizo wewe, kwani hapa tunabishana kuhusu nn?
Nakwambia hivi, mimi sio uthibitisho wa uwepo wa huyo Mungu wako wa kufikirika.

Mungu mmemtunga vichwani mwenu tu Na wala huwezi kuthibitisha uwepo wake.

Uwepo wangu mimi au kiumbe chochote kile, Sio uthibitisho wa uwepo wa Mungu.

Bali ni mawazo yenu ya kufosi fosi.
 
Aliacha hivyo kukupa wewe wajibu wa kumtii na kumuabudu

yeye aliyekuumba.
 
Mimi sina hata mia ila Mungu hayupo na Elon kuamini haithibitishi kwamba huyo Mungu yupo. Hakuna uhusiano wa imani ya mtu na mafanikio ya kiuchumi.
Huna mia ila elimu kidogo unayo ndio maana watu wa kawaida

wengi wanasadiki Mungu yupo hata kama haendi kusali.
 
Huna mia ila elimu kidogo unayo ndio maana watu wa kawaida

wengi wanasadiki Mungu yupo hata kama haendi kusali.
Kusadiki ni kuto kua na uhakika , kwa sababu Mungu haupo kweli, kama yupo thibitisha ili leo nijue Mungu yupo🤔
 
Kama alitupa wajibu wa sisi kumtii na kumuabudu, Kwa nini aliacha ngano na magugu vikue pamoja halafu atake vyote vimwabudu, ilhali alijua magugu hayataweza kumwabudu?

Hivi huyo Mungu wako anajielewa kweli?
Alijua wapo ambao hawata muabudu ila ametoa angalizo la

adhabu yao. Ni sawa na sheria huwa inaeleza kosa na adhabu yake
hata kabla mtu hajakosea.
 
Kuna uhusiano mkubwa kati ya kuwa Theist na mjinga asiyefikiri.
Ndio yale niliyokuwa na kuambia kwamba Atheist wengi

huwa wanaona kwamba wanaelewa kiasi cha kuhoji uwepo
wa Mungu na kuona wengine hawafikiri sawa sawa.
 
We unataka Mungu hajidhirishe ili wewe umwamini kwamba yupo ila umesahau wewe hapo ulipo uneshindwa kujidhihirishA hata hapa jf una jina bandia picha bandia sisi tunaamini wewe upo kupitia maandishi yako yametosha kuthibitisha kwamba wewe upo sasa sisi hatuna shaka kwamba mungu yupo kwa vile sisi tupo vinginevyo kama Mungu hayupo na Binadamu tusingekuwepo.
 
Huyo Mungu kama yupo, Kwa nini aliumba binadamu wasio mwamini?

Huyo Mungu, Alishindwaje kuumba binadamu wema tu watakao mtii na kumwamini siku zote na wakati wote?

Hivi huyo Mungu ana jielewa kweli?
Ahahah,inatwa mitihani kaka,Ili tuthibitishe jinsi vile unamtegemea yeye na kumwamini!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…