Salamu kwenu Atheist wa Jamii Forums

Salamu kwenu Atheist wa Jamii Forums

Nimekuwa nikiendesha malumbano ya hoja na wachamungu nilichobaini wakristo ni weupe haswa kichwani afadhali waislam.Huu ndiyo ulokole na ni afadhali wachamungu waliopita shule kuliko vinginevyo kwani kilichoujaza moyo wa mlokole ni wehu tu.Mfano ulio hai ni mleta mada kweli katuchokoza lakini mliobahatika kumwelewa alilenga nini hasa?
Lengo kuu la huyu mleta mada kwenye huu uzi ni kuchokoza Atheists wala si kujenga hoja.

Hii ndio faraja yake ya moyo.
 
Kwahyo hujui huo mwili wako ni hekalu la bwanaaa? Mungu ni nishati inayojidhihirisha kwenye maumbo mbali mbali ikiwemo ndani yako.
Hoja yako inajipinga yenyewe, halafu tuwekane sawa kwanza mi sio atheist ila kuna baadhi ya mambo tu hayajakaa sawa ndio maana nataka kujifunza zaidi kwa nadharia.
Tuongee kwa ukweli sio story za kwenye vitabu vya miaka mingi iliyopita isiyo na ushahidi.
 
Mimi siko kwenye huo u-atheist wao feki hao wanajifanya hawamini kuna mungu wakati wakifa wanazikwa na dini ila humu ndio wanajifanya miamba
Na mimi nimeshtuka kuwa wanaongea kwa mkumbo tuu kufurahisha

genge kumbe sio kweli ni Atheist.
 
Uwepo wako wewe ni uthibitisho kuwa Mungu yupo. When I see you

Infropreneur, I see an Image of God.
If we are the image of God and God is an invisible, Then why are we visible?

Why aren't we invisible, If we are the image of an invisible God?
 
God is the Spirit, he exist every where.
If God is spirit and if truly he created us in his image, Then why don't we exist everywhere like him?

Why don't we exist in the ocean, space and everywhere, if truly we are the image of the spirit God?
 
Be an image doesn't mean that we are looking exactly the same to God.
 
Be an image doesn't mean that we are looking exactly the same to God.
What does it mean when the scriptures say "God created humans in his own image and likeness" ?

If God created us in his own image and likeness, Why is he invisible and we humans are visible?

Why aren't we invisible like him, If truly we were created in the image and likeness of God?
 
Mimi siko kwenye huo u-atheist wao feki hao wanajifanya hawamini kuna mungu wakati wakifa wanazikwa na dini ila humu ndio wanajifanya miamba
Maisha ni yako ila mazishi yako ni kwa faida ya watu vyovyote wakakavyotaka kuzika ni juu yao.
 
Atheists ni watu wajinga wenye akili ndogo .

Kuna mmoja Mjina nilimuuliza chanzo cha binadamu ni nini akabaki kusema hakuna chanzo.
 
Atheists ni watu wajinga wenye akili ndogo .

Kuna mmoja Mjina nilimuuliza chanzo cha binadamu ni nini akabaki kusema hakuna chanzo.
Kwa nini huanzi kujiuliza chanzo cha Mungu ni nini?

Kwa nini unauliza tu chanzo cha binadamu ni nini?

Kwa nini una mu exclude huyo Mungu kwenye kuwa na chanzo, Halafu unafosi binadamu awe na chanzo?
 
Back
Top Bottom