Salamu kwenu Atheist wa Jamii Forums

Salamu kwenu Atheist wa Jamii Forums

IMG-20241225-WA0032.jpg
 
Musk ni mfanya biashara tumia akili, usiwe zwazwa kama Yesu wa Tongaleni.

Yeye analazimika kuchagua upande wa walio wengi mara zote ili mambo yake yapate Support kubwa kutoka kwa vilaza kama wewe ambao ndio wengi sasa.
 
Sio kweli wewe ndio kichwa maji. Mtu kama anahitaji huduma au

au kitu hataangalia wewe unasali au vipi? Hiyo haina uhusiano na
huduma anayotaka mfano labda gari au simu bora iwe na viwango
anavyohitaji yeye.
 
Kumbe huujui ujinga wa wafia dini wewe, hujawah sikia watu wanadai kususia bidhaa za mtu au kampuni flan kwa sababu ya kukashifu au kuikana dini flan?
 
Yeye hajakashifu imani ya mtu ila pia hatumii imani kama kigezo cha
kufanya biashara.
Ndo maana nakwambia wewe akili huna, mara zote Musk anakaa upande wa washindi au walio wengi.
Musk anajinasibu kama African kama Mu-Israel wa hiali, rafiki wa Trump lakin pia Mkristo.
Hizo zote ni pande zenye nguvu kibiashara so anacholenga yeye ni Market sio Pepo
Mcha Mungu ukishampata tu katika maswala ya imani basi umempata pote.
 
Mtambachuo we unavyoona hizi dini watu wanazipigania na mpaka kuingiza raia katika vita unadhani ni kwa sababu ya kuitafuta Pepo?
Mwenye nguvu ndiye mwenye uchuni na ukifanikiwa kuwateka watu katika mambo ya imani tayari umepata jeshi lenye nguvu.
Huu Uislam na Ukristo mnaorushiana madogo mitandaoni kuna watu ni mafanikio kwao afu kuna wewe hapo unachekelea, kulialia na kutia huruma na mambo yako ya rohoni.
 
Back
Top Bottom