ha ha ha!huo sio ubaguzi, ni ukiukwaji wa maadili ya chama. Unaonyesha udhaifu katika uongozi.
Tunawasiwasi nafasi tuliyokupa unaitumia vibaya. Tunaomba ulete audited acounts leo. kamati kuu itakufikiria kama unafaa kuendelea kuwa katika nafasi hiyo.
akishakwambia utafanya nini? unataka kupanda kichuguu na big mama pia?
hahahahaaa! ruksa! ila ujue ataniomba ushauri mimi kwanza! so, mimi ndo nimeshikilia uwezekano wa yeyote anayetaka kuhamisha meza.
nimecheka mpaka basi,nimegeuza lkn inagoma nadhani wako mlimani tusubiri wakianza kushuka
Mama Big ameleta iriki, mdalasini sasa sijui tunavitumia kwa ajili ya nini i tell you nikitoka huku either mawili NIMENENEPA AU NIMEKONDA
Mama Big ameleta iriki, mdalasini sasa sijui tunavitumia kwa ajili ya nini i tell you nikitoka huku either mawili NIMENENEPA AU NIMEKONDA
utatoka umekonda halafu ukipumzika ndo utaanza kunenepa tena,,maana kwa vimbwanga vyake alivyokuja navyo roho ndo atakuachia. Nakushauri uombe break UJE
Dalili zinaonyesha tutakuwa na (Hardcore S.e.x)sababu sielewi hizi pingu na huu mjeledi ni wa nini
mh! Kama vipi tutume:car:for rescue tusije kukukosa maana bado tunakuhitaji the finest wetu!we nae umejitakia wakati mwingine soma alama,,,,,haya toa location fasta
eneo: Keko magurumbasi
mtaa:tushikamane
guest:kiamsha mbali
room:777
Mh!next tym uende kiamsha karibu kwa rescue ya haraka incase of anything,poa nikifika hapo nita:A S 101: laini vipi usalama wangu kwa mama kubwa?
Kimbia, jifanye unataka ku-:smokin::smokin: mara moja, then chikichia, usivae soksi atakushtukia.Mama Big ameleta iriki, mdalasini sasa sijui tunavitumia kwa ajili ya nini i tell you nikitoka huku either mawili NIMENENEPA AU NIMEKONDA
Aisee tuma watu kwanza usije mwenyewe you will suffer the consequences, dah ngoja niendelee leo kazi ipo
copy.......singida moja singida moja, ova!
Hivi bado mnampa pole Maskini Jeuri au kama kawa maofu topiki?:bowl::bowl::bowl:
Aspin has just been received a :ban:from vizibo.Hivi bado mnampa pole Maskini Jeuri au kama kawa maofu topiki?:bowl::bowl::bowl: