Teamo
JF-Expert Member
- Jan 9, 2009
- 12,271
- 1,052
ha ha ha!huo sio ubaguzi, ni ukiukwaji wa maadili ya chama. Unaonyesha udhaifu katika uongozi.
Tunawasiwasi nafasi tuliyokupa unaitumia vibaya. Tunaomba ulete audited acounts leo. kamati kuu itakufikiria kama unafaa kuendelea kuwa katika nafasi hiyo.
hapo unaongea kama mwenyekiti wa bodi ya ''wadhamini''
mhasibu mara kadhaa anapingana sana na sheria hii hapa:
3- INFIDELATORS/INFIDELEETES wanatakiwa kushea-KIZURI KULA NA NDUGUYO!(hii sheria ni muhimu sana).ukimpata infideletee anaejituma sana gesti muhabarishe na mwenzio akamfaidi.SHARING IS CARING-KUGAWANA NI KUJALI