WiseLady
JF-Expert Member
- Jan 22, 2010
- 3,268
- 531
Sasa mbona mnageukana wenyewe tena...?:confused2:
Nimekumiss dear,tunajiliwaza huku machungu ya uchaguzi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa mbona mnageukana wenyewe tena...?:confused2:
Pole sana M_J....tunashukuru kusikia mengineyo yameisha salama
Wapendwa marafiki katika jina la Invizibo.
Kama mtakumbuka mwanachama hai wa MMU kitengo cha ISC ndugu yetu Maskini Jeuri alipata ajali mbaya sana takribani wiki tatu zilizopita.
Ilikuwa ajali mbaya iliyogharimu uhai wa binadamu mmoja, na wengine kujeruhiwa. Tunamshukuru Mungu, mpiganaji mwenzetu yuko salama na anaendelea vema.
Nimetoka kuongea naye hivi punde. Anawasalimu, Anawamisi na Anawashukuru kwa ushauri na pole mlizompa. Amefarijika sana. Ameniomba niwashukuru kwa niaba yake. Shukrani za kipekee kabisa amezituma kwa katibu Roya Roy. Mkuu unashukuriwa kwa msaada mkubwa uliompa. Ulimsaidia sana.
Pia kesi yake mahakamani imeshatolewa hukumu. Amepatikana na hatia katika makosa saba. Amepigwa faini ya Tsh 60,000/= (ambazo ofkozi ameshalipa, vinginevyo angeenda jela miaka mitatu). Pia kapigwa BAN la kuendesha gari kwa miaka mitatu. Ofkozi kuna "gharama" za uendeshaji wa kesi ambazo zilimgarimu kama 2m hivi, lakini maisha yanapaswa kuendelea.
Kwa ujumla, pokeeni salamu, shukrani na ahsante nyingi toka kwa mpiganaji Maskini_Jeuri.
Nawasilisha kwa upendo.
Mtumishi wenu mtiifu.
Asprin
mwenzio kaja yuko kisredi zaidi we unamtokea na dabo rodi zako!Ohooo!!!!!!!!! Okay dabo rodi
The beauty of DOUBLE ROAD is beyond descriptionmwenzio kaja yuko kisredi zaidi we unamtokea na dabo rodi zako!
The beauty of DOUBLE ROAD is beyond description
The beauty of DOUBLE ROAD is beyond description
Nimekumiss dear,tunajiliwaza huku machungu ya uchaguzi
MDOGO WANGU... KAMA HUJACHAKACHUA BADO POLE YAKO... JK alichakachuliwa mafuta pale moshi basi analipizia nchi nzima, kaanzia na kura, atarudi na mengine nyie subiri tu, tena nataka nimwalike awe memba wa jukwaa hili, tumkabidhi my dude SmilesPole MJ kwa yote yalikukuta pia tunashukuru Mungu yameisha salama.
Kumbe uchakachuaji upo mpaka kwenye srediii dah:doh::doh::doh:
MDOGO WANGU... KAMA HUJACHAKACHUA BADO POLE YAKO... JK alichakachuliwa mafuta pale moshi basi analipizia nchi nzima, kaanzia na kura, atarudi na mengine nyie subiri tu, tena nataka nimwalike awe memba wa jukwaa hili, tumkabidhi my dude Smiles
Yaani we acha tuu...
nimekumiss pia, ila huu uchaguzi umenikera hadi basi
yani kuna hii sura ya makame nikichanganya na sauti yake ndo nakereka zaidi,maskio yanasikia tu dovutwa!yamegoma majina ya wengine!
Pole my dear.....ndio Tanzania yetu hiyo....
Asante my dia,,hebu mtembelee Mama big
heheh Mama Big amekuja kwa kasi ya ajabu hadi kaniogopesha atii....