Malezi mabovu utampitaje jirani yako bila kumsalimia utakuwa lbd kichaa😂😂
Mwafrika kutosalamiwa kunamchoma sana na kumpa wakati mgumu zaidi ya hata ya ukimwi na UTI SUGU, yuko radhi aende gesti ampime malaya kwa macho kam hana gonorea lakini atahaisika bila aibu kwenda kumsengenya mtu aliepita bila kumsalimia
🚮🚮
Kuna wale majirani ukiwasalimia wanakausha kimyaaaa. Na sio mara moja!Malezi mabovu utampitaje jirani yako bila kumsalimia utakuwa lbd kichaa
Umesahau kwamba salamu ndio ufunguo wa maongezi yote.Ongea nao shida nini?
Mwanzoni walikua wananifanyia hivi, ila kwasasa mimi ndo nimekua muandamiziK
Kuna wale majirani ukiwasalimia wanakausha kimyaaaa. Na sio mara moja!
Kabisa,mpatie mtu kile kilichobora kabisaIshi na mtu vile alivyo!
Mpatie kile mtu anastahili
Lakini yeye hazuiwi kukuhudumia ukipata shida. Atakua wa ajabu sana akiacha kukupa msaada kisa tu humsalimiagi. Ubinadamu ni kusaidiana, sio kusalimianaMalezi mabovu utampitaje jirani yako bila kumsalimia utakuwa lbd kichaa
Ahaha 🤣🤣🤣Umesahau kwamba salamu ndio ufunguo wa maongezi yote.