Nikikusoma vizuri mleta mada kwangu naona hata huyo unayemsifia kwa kurekebisha naona nae hakurekebisha chochote, kwani kusema "nawasalimu kwa jina la muungano" ndio salamu ya hilo kundi kubwa unalosema halikusalimiwa mwanzo?
Nae naona amekwepa kutoa salamu stahiki kwa hilo kundi jingine kama ambavyo unamlaumu huyo wa kwanza kutokutoa salamu, alitakiwa kuwa straight kutoa salamu stahiki, sio kuleta salamu mpya ya kijanja.
Bora hata wakiristo kidogo wako rational kidogo.
Hizi dini zimekuja kupumbaza watu, watu wajinga wamekua wapumbavu na wapumbavu wamekua mataahira kabisa.
Udini utarudi kwa kasi ya 4G .taarabu kupigwa ikulu nk
Na wananchi tutajibu nzuriii! Siyo salamu ambayo tunabaki bubu tuu.Habari zenu ndugu zangu/wananchi inatosha kabisa kwa Kiongozi kusalimia
Kwani unajua maana ya salamu aliyoitoa katanga ni nini????
Kwa akili zenu mfu mnadhani salamu ya Katanga ni ya kidini??? Kweli hili taifa bado sana na ndo mana Mwendazake aliweza kuwa brainwash..
SIAFIKI HIYO SALAMU. Lazima appreciate Imani mbalimbali za watZ na hiyo inamleta karibu zaidi na Watanzania. kama makafiri na wenye imani za asili wamemwambia anapendelea basi ni dhahiri hajitambui.
Serikali ya JMT haina dini. Salamu katika shughuli za kiserikali zaweza kuwa;
1. Tanzania Hoyee!!!
2. Jambo Wananchi!!
3. Tanzania Juu!!!
4............,..
Hizi salamu za kidini kwenye mikutano ya kiserikali na vyama vya siasa zilianza kutumiwa kwa sababu ya ujinga tu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Yani mama kawashika pabaya mmebaki mnaongea utopolo tuuu, na mimi nasema ashikilie hapo hapo hadi mjue hii nchi ni yetu soteeeeRais wetu toka akiwa Makamu wa Rais alipenda, kusalimia salaam alykum! Alikuwa hataji salamu zingine, nadhani kuna uzi humu uli hoji! Sasa kaona aje kivingine. Ila mie nasema. Kusalimiwa kwa Jamhuri ya Muungano wala haiji. Sasa tunaitikia vipi! Heri enzi za mkapa yeye alitumia Mambo!...
Hiyo ni sakaam ya kiislam acheni ubishi japo ina maana nzuri.huwezi kuitumia kanisani.ni sawa na kusena bwana asifiwe msikitini utakuwa wa ajabu.kwenye nchi ya dini kama hizi tuachane na hizo salaam za kidini au tutumie zote
Na yule mwingine alibeba nini?Mama yetu ameanza vibaya. Namfuatilia sana. Kabeba sana Uislam na Uzanzibar. Sijui kama tutafika.
Kweli wajinga wengi sana na kamwe hawawezi kuisha yaani bado anajua As-salamu alaykum ni kiislam hahaaa.
As-salamu alaykum is a greeting in Arabic that means "Peace be upon you"
Nakwambia kwa Kweli. Wajinga nchi hii wako wengi sana . Hawajui hata hao waarabu wapo wakristo, waislamu na hata wasio dini na wote wakisalimiana wanatumia salamu iyoiyo.
[emoji3][emoji3][emoji3]
Ndio maana salamu za kidini zitumike kwenye mikutano ya kidini.
Sasa kashika nani. Wabongo! Haki ya kutoa maoni ni yakila mtu. Hakuna alie sema mama ni mmbaya. Ndo kwanza kashika kiti. Tuko nae pamoja ili ailetee maendeleo Tanzania.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Yani mama kawashika pabaya mmebaki mnaongea utopolo tuuu, na mimi nasema ashikilie hapo hapo hadi mjue hii nchi ni yetu soteeee
Kwani kwenye uswahili na waswahili iyo salamu haitumiki?Zaidi ya nusu ya hii nchi hawajui kiarabu, hata hao wanaokifahamu ni huko kwenye mambo ya dini zaidi kwa nini usalimie Kiarabu na si Kiswahili au Kingereza ambazo ni lugha rasmi?
Kwa akili yako fupi unadhani kiswahili kimetokana na lugha zipi??? Una elimu gani kwani?Hatutaki Salamu kutoka kwa Watanzania wenzetu kwa lugha za nje, kitumike Kiswahili kutoa salamu. Vinginevyo kitumike Kingereza ambacho ni lugha yetu rasmi pia.
Mbona hilo hukohoji kipindi Cha mwendazake uje uhoji leo?
Inabidi tujue Kwanz ni Mungu gani a naongelewa.Rais wetu toka akiwa Makamu wa Rais alipenda, kusalimia salaam alykum! Alikuwa hataji salamu zingine, nadhani kuna uzi humu uli hoji! Sasa kaona aje kivingine. Ila mie nasema. Kusalimiwa kwa Jamhuri ya Muungano wala haiji. Sasa tunaitikia vipi! Heri enzi za mkapa yeye alitumia Mambo!..
Hili taifa si la kidini na ndiyo maana hata asiyeamini Mungu anaweza kuwa kiongozi. Mamno ya Mungu na dini yabaki kuwa mambo binafsi na hiari. Hatupaswi kulazimishana kutaja taja jina la Mungu.
[emoji3][emoji3]kichwa kibovuAnachotaka kutuamininisha hapa ni kwamba masuala ya Mungu yakae pembeni na hii alianza tangu JPM akiwa mahututi na ndiyo maana hakusema tumwombee. Kiongozi wa nchi anapojaribu kuonyesha kuwa Mungu siyo muhimu siyo tu ushamba na ulimbukeni bali pia kukaribisha maafa ndani ya nchi. Atueleze ni akili ya namna gani aliyotumia kinyume na marais waliopita na kuamua kuwa kwenye taifa hili Mungu asitajwe kabisa?. Hili halikubaliki maani ni kuonyesha kuwa hii ni nchi ya wapagani.