Odhiambo cairo
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 15,989
- 22,078
Kabila langu linakuhusu nini sg ?! Toa hoja usikimbilie ukabilaKinachoongelewa hapo ni hizo salamu za kuonya au umerukia tu bila kujua content ya thread mjaluo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabila langu linakuhusu nini sg ?! Toa hoja usikimbilie ukabilaKinachoongelewa hapo ni hizo salamu za kuonya au umerukia tu bila kujua content ya thread mjaluo?
Hawa ndo maaskofu wanakemea upvu wa wataealaHapa chini ni salamu za Heri kutoka kwa baba askofu Shoo. Wenye masikio na wasikie:
View attachment 2057288
View attachment 2057259
Eeh Mola wetu ukasimame na waja wako wanaoteseka kwenye dhuluma hizi.
Shetani utamjua tu kwa kupiga matendo ya hakiMwambie ashughulikie matatizo ya KKKT kwanza kuna wizi na uonevu mkubwa sana kwenye kanisa lake. Juzi tu huko Mbeya kulikuwa na shida na yeye akatuhumiwa kwenye mgogoro huo. Mwambie atoe kiboriti kwanza kwenye jicho lake halafu ndiyo ataweza kuona vizuri matatizo ya wengine.
Mataga na maccm watapingaHapa chini ni salamu za Heri kutoka kwa baba askofu Shoo. Wenye masikio na wasikie:
View attachment 2057288
View attachment 2057259
Eeh Mola wetu ukasimame na waja wako wanaoteseka kwenye dhuluma hizi.
Bagonza umemsahauAskofu Shoo, Askofu Mwamakula, Sheikh Ponda na waungwana wengine huwa hawakopeshi (terms cash). Mzee wa upako alikuwa huyu:
Kesi ya Mbowe: Mzee wa Upako anena Mazito
Tusubiri mrejesho wa salamu za Heri toka kwake pia kutoka kwa askofu Niwemugizi na wenzao.
Bwana hajawahi kuwasahau waja wake katika dhiki.
Unaandika tu...ndio uhuru wa maoni huu?Ana hoja nzuri ila DICTATOR Samia sijui kama ataelewa
Unaandika tu...ndio uhuru wa maoni huu?
Bagonza umemsahau
Rudi kwenu KenyaKabila langu linakuhusu nini sg ?! Toa hoja usikimbilie ukabila
Shoo kumbe ni shetani mkuu?!!Shetani utamjua tu kwa kupiga matendo ya haki
Amesanda huyu MzeeHapa chini ni salamu za Heri kutoka kwa baba askofu Shoo. Wenye masikio na wasikie:
View attachment 2057288
View attachment 2057259
Eeh Mola wetu ukasimame na waja wako wanaoteseka kwenye dhuluma hizi.
IMEKUUMA . KUMBE NI TUHUMA TU TENA ZA NDANI YA KANISA LAO. WAFUTE KESI WAWE SALAMA AMA WASHUPAZE SHINGO ZIVUNJIKE NA WASIPATE DAWAMwambie ashughulikie matatizo ya KKKT kwanza kuna wizi na uonevu mkubwa sana kwenye kanisa lake. Juzi tu huko Mbeya kulikuwa na shida na yeye akatuhumiwa kwenye mgogoro huo. Mwambie atoe kiboriti kwanza kwenye jicho lake halafu ndiyo ataweza kuona vizuri matatizo ya wengine.
Huyo huwa anatetea wachaga wenzake tu. Mkabila sana huyo MangiIMEKUUMA . KUMBE NI TUHUMA TU TENA ZA NDANI YA KANISA LAO. WAFUTE KESI WAWE SALAMA AMA WASHUPAZE SHINGO ZIVUNJIKE NA WASIPATE DAWA
Umesikia aliyetoa ujumbe Leo ndio ameusababisha huo mgogolo huko Mbeya?Mwambie ashughulikie matatizo ya KKKT kwanza kuna wizi na uonevu mkubwa sana kwenye kanisa lake. Juzi tu huko Mbeya kulikuwa na shida na yeye akatuhumiwa kwenye mgogoro huo. Mwambie atoe kiboriti kwanza kwenye jicho lake halafu ndiyo ataweza kuona vizuri matatizo ya wengine.
NdioUmesikia aliyetoa ujumbe Leo ndio ameusababisha huo mgogolo huko Mbeya?
Imekuchoooma kama pasi eeeeh?? Meza limau [emoji13][emoji13]Mwambie ashughulikie matatizo ya KKKT kwanza kuna wizi na uonevu mkubwa sana kwenye kanisa lake. Juzi tu huko Mbeya kulikuwa na shida na yeye akatuhumiwa kwenye mgogoro huo. Mwambie atoe kiboriti kwanza kwenye jicho lake halafu ndiyo ataweza kuona vizuri matatizo ya wengine.
Nimeshameza tayari mkuu lakini bado inachoma tu! Nifanyeje sasa mkuu??!Imekuchoooma kama pasi eeeeh?? Meza limau [emoji13][emoji13]
Yeye Shoo ndioo alihamishia dayosisi mbeya mjini na kufukuza zaidi ya wachungaji 20 kwenye eneo ambalo siyo dayosisi take kiutawala?Ndio
Fungulia uzi. Tujadili
Hapa watu wanaongelea salaam za Christmas na mwaka mpya