Salamu za Heri: Shoo aonya dhidi ya Uonevu

Mwambie ashughulikie matatizo ya KKKT kwanza kuna wizi na uonevu mkubwa sana kwenye kanisa lake. Juzi tu huko Mbeya kulikuwa na shida na yeye akatuhumiwa kwenye mgogoro huo. Mwambie atoe kiboriti kwanza kwenye jicho lake halafu ndiyo ataweza kuona vizuri matatizo ya wengine.
Unajua wewe mjane una matatizo sana mchattle ww

IMG_20211029_105959.jpg
 
Kaandika tu? Mbona mwenye macho haambiwi tazama?
Askofu Shao kaongea vema. Ufike wakati tujadili mambo ya nchi yetu kwa fikra chanya. Rais ameonyesha nia njema kabisa twende vipi kama Taifa.

Screenshot_20211225-201743_WPS Office.jpg
 
Askofu Shao kaongea vema. Ufike wakati tujadili mambo ya nchi yetu kwa fikra chanya. Rais ameonyesha nia njema kabisa twende vipi kama Taifa.

View attachment 2057758

Kwa hakika Askofu Shoo kaongea vizuri sana. Tufike mahali tuweke maslahi ya taifa mbele tuache kuteka na kutesa watu.

Askofu kaonyesha njia rais Apache kuufanya moyo wake mgumu:

IMG_20211226_084753_973.jpg
 
Mpelekee hiyo picha Askofu Shoo

Kwa hakika Askofu Shoo kaongea vizuri sana. Tufike mahali tuweke maslahi ya taifa mbele tuache kuteka na kutesa watu.

Askofu kaonyesha njia rais Apache kuufanya moyo wake mgumu:

View attachment 2057798
Kauli ya jumla sana hii ya Baba Askofu Dk. Shoo . Hadi yeye kuongea hivyo maana yake Uhuru upo nchini...uzuri wa statement ya Baba Askofu Shao wa Katoliki Zanzibar amekuwa specific kuhusu siasa za kujenga nchi pamoja. Kwamba Rais Samia ameonyesha ni kiongozi mpenda majadiliano na uongozi shirikishi.
 
Anatakiwa afanye zaidi ya kuonya, anatakiwa achukue hatua.
 
Miye na wewe inabidi kujiuliza pia. Kwani hata tumefanya nini basi?

Au sisi kama wakunga tunasubiria tu mtoto azaliwe?
 
Yeye ni kiongozi, ana wajibu mkubwa zaidi.
 
Huku ni kutaka kujivua uwajibikaji. Sote tuna dhamana ile ile.

Hii nchi ni yetu sote. Sisi kama wananchi tuna haki ya kushinikiza lolote na likawa.

Kigugumizi kilichopo ni kuwa wengi tunataka kula matunda bila kuwa sehemu ya kuyapigania.

Humu JF katoweka bwana BAK mpambanaji kweli kweli. Wangapi wamekuwa na ujasiri hata wa kuhoji tu aliko mja huyu?
 
Inawezekana wewe mwenyewe ndiye unajua BAK katoweka
 
Baba askofu shoo naye bwana, si angesema tu mbowe anaonewa basi,maana sisi tunajuwa na yeye anajua na wao wangejua.
 
Kuzaliwa kwa kundi la wasiojulikana ktk taifa ni aibu kuu kwa taifa letu. Kupotea kwa watu mchana kweupe na viongozi wa kitaif kubeza kupotea huko haikuwa hali ya kawaida
 
Tayari sasa tunawajua. Goodluck ni mmoja wao. Genge lao sasa linajulikana na hata nani alikuwa anaowatuma na walikuwa wanawajibika kwa nani.

Badala ya wao kuwa jela, wahanga wao ndiyo wako huko.

Pamoja na uovu wao kujulikana haki ingali mbali sana.
 
Baba askofu shoo naye bwana, si angesema tu mbowe anaonewa basi,maana sisi tunajuwa na yeye anajua na wao wangejua.

Wanasema mchele mmoja lakini mazishi mengi. Maana kamili ya kuwa kila mtu ana ustaarabu na namna yake ya kufanya jambo lile lile.

Au nasema uongo ndugu zangu?
 
Kauli ya jumla sana hii ya Baba Askofu Dk. Shoo . Hadi yeye kuongea hivyo maana yake Uhuru upo nchini...uzuri wa statement ya Baba Askofu Shao wa Katoliki Zanzibar amekuwa specific kuhusu siasa za kujenga nchi pamoja. Kwamba Rais Samia ameonyesha ni kiongozi mpenda majadiliano na uongozi shirikishi.
Huyo hawez kukuelewa yeye anawaza sukuma gangs warudi kutawala!!
 
Back
Top Bottom