- Thread starter
- #41
Amesanda huyu Mzee
Kila anayewaambia ukweli mbaya.
Majibu ya salamu zenu za kinafiki mmeyaona:
Salamu za Heri zinapoamsha watu kutema Nyongo
Msaidiwe je enyi watu?
Ama kweli la kuvunda halina ubani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amesanda huyu Mzee
Unajua wewe mjane una matatizo sana mchattle wwMwambie ashughulikie matatizo ya KKKT kwanza kuna wizi na uonevu mkubwa sana kwenye kanisa lake. Juzi tu huko Mbeya kulikuwa na shida na yeye akatuhumiwa kwenye mgogoro huo. Mwambie atoe kiboriti kwanza kwenye jicho lake halafu ndiyo ataweza kuona vizuri matatizo ya wengine.
Askofu Shao kaongea vema. Ufike wakati tujadili mambo ya nchi yetu kwa fikra chanya. Rais ameonyesha nia njema kabisa twende vipi kama Taifa.Kaandika tu? Mbona mwenye macho haambiwi tazama?
Askofu Shao kaongea vema. Ufike wakati tujadili mambo ya nchi yetu kwa fikra chanya. Rais ameonyesha nia njema kabisa twende vipi kama Taifa.
View attachment 2057758
Mpelekee hiyo picha Askofu Shoo
Mpelekee hiyo picha Askofu Shoo
Kauli ya jumla sana hii ya Baba Askofu Dk. Shoo . Hadi yeye kuongea hivyo maana yake Uhuru upo nchini...uzuri wa statement ya Baba Askofu Shao wa Katoliki Zanzibar amekuwa specific kuhusu siasa za kujenga nchi pamoja. Kwamba Rais Samia ameonyesha ni kiongozi mpenda majadiliano na uongozi shirikishi.Kwa hakika Askofu Shoo kaongea vizuri sana. Tufike mahali tuweke maslahi ya taifa mbele tuache kuteka na kutesa watu.
Askofu kaonyesha njia rais Apache kuufanya moyo wake mgumu:
View attachment 2057798
Hawa wanaoumiza wenzao kwa kuwabumbia kesi ni sawa na majambazi.Hapa chini ni salamu za Heri kutoka kwa baba askofu Shoo. Wenye masikio na wasikie:
View attachment 2057288
View attachment 2057259
Eeh Mola wetu ukasimame na waja wako wanaoteseka kwenye dhuluma hizi.
Anatakiwa afanye zaidi ya kuonya, anatakiwa achukue hatua.
Yeye ni kiongozi, ana wajibu mkubwa zaidi.Miye na wewe inabidi kujiuliza pia. Kwani hata tumefanya nini basi?
Au sisi kama wakunga tunasubiria tu mtoto azaliwe?
Yeye ni kiongozi, ana wajibu mkubwa zaidi.
Inawezekana wewe mwenyewe ndiye unajua BAK katowekaHuku ni kutaka kujivua uwajibikaji. Sote tuna dhamana ile ile.
Hii nchi ni yetu sote. Sisi kama wananchi tuna haki ya kushinikiza lolote na likawa.
Kigugumizi kilichopo ni kuwa wengi tunataka kula matunda bila kuwa sehemu ya kuyapigania.
Humu JF katoweka bwana BAK mpambanaji kweli kweli. Wangapi wamekuwa na ujasiri hata wa kuhoji tu aliko mja huyu?
Kuzaliwa kwa kundi la wasiojulikana ktk taifa ni aibu kuu kwa taifa letu. Kupotea kwa watu mchana kweupe na viongozi wa kitaif kubeza kupotea huko haikuwa hali ya kawaida
Baba askofu shoo naye bwana, si angesema tu mbowe anaonewa basi,maana sisi tunajuwa na yeye anajua na wao wangejua.
Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...
Huyo hawez kukuelewa yeye anawaza sukuma gangs warudi kutawala!!Kauli ya jumla sana hii ya Baba Askofu Dk. Shoo . Hadi yeye kuongea hivyo maana yake Uhuru upo nchini...uzuri wa statement ya Baba Askofu Shao wa Katoliki Zanzibar amekuwa specific kuhusu siasa za kujenga nchi pamoja. Kwamba Rais Samia ameonyesha ni kiongozi mpenda majadiliano na uongozi shirikishi.