Salamu za Heri zinapoamsha watu kutema Nyongo

Salamu za Heri zinapoamsha watu kutema Nyongo

Wahuni hawakosekani kila eneo!

Hata huyu kasema hivyo:

IMG_20211213_115246_235.jpg

Kwa hakika si kule peke yake.

Salamu na zako zitakuwa zimewafikia.
 
Yawezekana huyu mjomba naye ni prominent kwani yasemekana kumbe chopa ni lus*nde.

Kwanini mwamba asiwe kiroboto?
Ha ha ha naanza kuamini maana anasahau sahau tabia yake ya undumilakuwili....alichoandika asubuhi na jioni huwa tofauti...
 
Na wewe acha kubwabwaja.

Nauli 14,000/= unafika kijijini kwenu migombani!
We jamaa ni muhun kama wahuni wengine
Una mambo ya kijinga sana jitathimin

Una ukabila sana unachuki za kipumbavu sana tumekusoma muda tuu unaendekeza ushenzi wako hapa jf tuu

Halafu hiyo roho yako mbaya itakutesa Sana maana haitawabadilisha hao unaowachukia badala yake wanakuona
Lipumbavu jitu lisilojielewa acha libaki likitutukana mwisho litatulia tuu

Chuki humuumiza yule anayemchukia mwenzake maana wewe ndiyo unateseka
 
Hahahaaaa......... Manka umefura!

Kunywa kisado cha mbege upunguze hasira.
 
Hivi kwanini Wadanganyika tuna tabia ya kufosi watu wafanane?
 
Kuwepo kwa wimbi la hamasa za chuki kujibu salamu za Heri si mambo ya kufumbia macho wala kupiga rungu.

Kama taifa, tumefikaje huku?

Hoja hujibiwa kwa hoja.

Kwa hamasa kali zilizopo kufuatia salamu mbili hizi:

View attachment 2057032

View attachment 2057030

Kwa hakika kuna mahali tume furuku kweri kweri.

"Hatuwezi kutatua matatizo yetu kwa kujidanganya kuwa hayapo" - RIP JKN.

Hisia hizi ni upuuzi mtupu? Kwa idadi kubwa hii ya watema nyongo?

Penye moshi pana moto.
Ni kwa sababu ya uonevu
 
Back
Top Bottom