Salamu za mwaka mpya toka TRA

aisee roho mbaya itakuuwa hapo ni ndugu yako kafanikiwa kutoka kimaisha je angekuwa mtu baki. Unauhakika gani kama kakopa au kakutana na fursa kama mashamba ,au migodi yaani mtu akiendelea tu ni rushwa. sasa ndugu yako unamsema hivi je wangekuwa watu baki.Mwezio inaonekana anaroho nzuri ndiyo maana anakazi na maendeleo wewe mwenye roho mbaya nyeusi utabaki hapo hapo. Da duniani kuna viumbe wa ajabu sana utakufa na umaskini wako wa roho mbaya hadi kwa ndugu zako.
 
Kidatta, mtu muungwana sana anayemtegemea Mungu, na Mungu alimlinda wakati anataka kumezwa na firauni. Huyu ni living testimony ya jinsi Mungu analinda wqtu wqke
Huyu mzee wanamuogopa sana ni mkali nasikia anafatilia huyo akikufuma umekwisha . Nasikia wanadai ukiitwa ofisini kwake unasema mama yangu maana kama unamakandokando umekwisha.safi sana
 
Msije tu kuanzisha na Kodi ya Maiti.
 
Kidatta, mtu muungwana sana anayemtegemea Mungu, na Mungu alimlinda wakati anataka kumezwa na firauni. Huyu ni living testimony ya jinsi Mungu analinda wqtu wqke
Nakubaliana, huko Canada aliona mengi ya firauni ambayo mpaka sasa ni siri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…