Cute Wife
Platinum Member
- Nov 17, 2023
- 3,054
- 8,449
Wakuu,
Ni mwaka mmoja toka yalipotokea maandamano, ambapo wengi miongoni mwetu walipoteza maisha.
Wengine ni ndugu zetu, jamaa zetu, marafiki zetu na hata majirani. Wengine tulinusurika lakini tumebaki na majeraha ya kudumu mioyoni mwetu, wengine walinusurika lakini wamepata ulemavu wa kudumu na maisha yao kubadilika moja kwa moja.
Pole kwao, pole kwetu sote. Tutumie uzi huu kupeana na pole na faraja na kuwakumbuka wale wote walioachana nasi siku ile🕯️