ACHA IWE HIVYOOONi sawa.
Lakini hizi pole hazina afya yeyote,zaidi ya kuleta maumivu na kumbukumbu mbaya pamoja na kuendelea kuamsha hasira Kwa watu
Wanataka oct 29 isahaulike kabisa!Na ukiwa kimya kama hakuna kilichotokea ndio maumivu yatapotea ndugu?
Pembe la ng'ombe halifichikiNi sawa.
Lakini hizi pole hazina afya yeyote,zaidi ya kuleta maumivu na kumbukumbu mbaya pamoja na kuendelea kuamsha hasira Kwa watu
HaitawezekanaWanataka oct 29 isahaulike kabisa!
In fact,Wakuu,
Ni mwaka mmoja toka yalipotokea maandamano, ambapo wengi miongoni mwetu walipoteza maisha.
Wengine ni ndugu zetu, jamaa zetu, marafiki zetu na hata majirani. Wengine tulinusurika lakini tumebaki na majeraha ya kudumu mioyoni mwetu, wengine walinusurika lakini wamepata ulemavu wa kudumu na maisha yao kubadilika moja kwa moja.
Pole kwao, pole kwetu sote. Tutumie uzi huu kupeana na pole na faraja na kuwakumbuka wale wote walioachana nasi siku ile🕯️
Acha masiala gentlemanIn fact,
hiyo iwe fundusho kwa magaidi wengine wanaoelekea kubebwa ufala wa kifikra na kujitia kimbelembele kwamba wana haki ya kulipua vituo vya mafuta, kuchoma vituo vya polisi na makazi ya watu, wana haki ya kupora maduka ya watu na kuharibu miundombinu, lakini pia wao wana haki ya kuwapiga, kuwaumiza na kuwaua wananchi ambao walikataa kujiunga na ugaidi wao.
wakumbuke kwamba,
kubebwa ufala wa kifikra na kuchochewa kufanya ugaidi au ghasia na vibaka wa kisiasa, ambae yupo kwenye hatari zaidi ya kuangamia na kupoteza maisha ni gaidi mwenyewe kuliko aliekutuma kufanya hiyo nonsense.
Utaishia kufanyiwa kumbukumbu tu kwa maslahi ya kisiasa ya wengine 🐒
Gentleman,Acha masiala gentleman