Salamu za Rais wa Simba SC, Mohammed Dewji baada ya kufuzu hatua ya robo fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika.

Salamu za Rais wa Simba SC, Mohammed Dewji baada ya kufuzu hatua ya robo fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika.

Mo Dewji bado hajalipa zile Tshs 20 bil, za Simba, alipe hizo fedha ili anunue shares za Simba, huyu jamaa sio mkweli, kachukua shares za Simba bila kutoa hata senti kwenye zile Tshs 20 bil ambazo ziko kisheria kwenye mkataba
 
Back
Top Bottom