sawa, ila ukweli ni kwamba yanga wameishia makundi na sare za vitengeMo Dewji bado hajalipa zile Tshs 20 bil, za Simba, alipe hizo fedha ili anunue shares za Simba, huyu jamaa sio mkweli, kachukua shares za Simba bila kutoa hata senti kwenye zile Tshs 20 bil ambazo ziko kisheria kwenye mkataba