L Luhan12 JF-Expert Member Joined Nov 10, 2019 Posts 550 Reaction score 723 Jan 22, 2025 #21 Jay One said: Mo Dewji bado hajalipa zile Tshs 20 bil, za Simba, alipe hizo fedha ili anunue shares za Simba, huyu jamaa sio mkweli, kachukua shares za Simba bila kutoa hata senti kwenye zile Tshs 20 bil ambazo ziko kisheria kwenye mkataba Click to expand... sawa, ila ukweli ni kwamba yanga wameishia makundi na sare za vitenge
Jay One said: Mo Dewji bado hajalipa zile Tshs 20 bil, za Simba, alipe hizo fedha ili anunue shares za Simba, huyu jamaa sio mkweli, kachukua shares za Simba bila kutoa hata senti kwenye zile Tshs 20 bil ambazo ziko kisheria kwenye mkataba Click to expand... sawa, ila ukweli ni kwamba yanga wameishia makundi na sare za vitenge
Jay One JF-Expert Member Joined Nov 12, 2010 Posts 18,042 Reaction score 19,787 Jan 22, 2025 #22 Luhan12 said: sawa, ila ukweli ni kwamba yanga wameishia makundi na sare za vitenge Click to expand... Mama yako alikuzaa, alikubeba na alikulea kwenye kitenge, sbb bado mtoto ww hujui thamani ya kitenge
Luhan12 said: sawa, ila ukweli ni kwamba yanga wameishia makundi na sare za vitenge Click to expand... Mama yako alikuzaa, alikubeba na alikulea kwenye kitenge, sbb bado mtoto ww hujui thamani ya kitenge
R RNA JF-Expert Member Joined Mar 27, 2013 Posts 1,647 Reaction score 2,803 Jan 22, 2025 #23 Punguzq hasira Jay One said: Mama yako alikuzaa, alikubeba na alikulea kwenye kitenge, sbb bado mtoto ww hujui thamani ya kitenge Click to expand...
Punguzq hasira Jay One said: Mama yako alikuzaa, alikubeba na alikulea kwenye kitenge, sbb bado mtoto ww hujui thamani ya kitenge Click to expand...
L Luhan12 JF-Expert Member Joined Nov 10, 2019 Posts 550 Reaction score 723 Jan 22, 2025 #24 Jay One said: Mama yako alikuzaa, alikubeba na alikulea kwenye kitenge, sbb bado mtoto ww hujui thamani ya kitenge Click to expand... sawa mama alinibeba kwa kitenge, ila ukweli ni kwamba mmeishia makundi au ni uongo?
Jay One said: Mama yako alikuzaa, alikubeba na alikulea kwenye kitenge, sbb bado mtoto ww hujui thamani ya kitenge Click to expand... sawa mama alinibeba kwa kitenge, ila ukweli ni kwamba mmeishia makundi au ni uongo?
Kiweriweri JF-Expert Member Joined Jan 3, 2012 Posts 2,150 Reaction score 3,086 Jan 22, 2025 #25 Makundi FC wanaumiaaa!
Nehemia Kilave JF-Expert Member Joined Jan 9, 2022 Posts 1,414 Reaction score 3,118 Jan 22, 2025 Thread starter #26 Kiweriweri said: Makundi FC wanaumiaaa! Click to expand... Hakika