Salamu zangu kwenu.....habari zenu wana chit-chat.....

Salamu zangu kwenu.....habari zenu wana chit-chat.....

ooo asante sana ndugu ila kesho nakuomba bwana uvae nguo hayo manyama yanatisha wanetu humu.
 
Asante kwa salamu, nami nimepita tu.....
 
ama baada ya salam nauliza wewe na mwandani wako hamjambo au mmeachana?
copy: Baba V
 
Last edited by a moderator:
ooo asante sana ndugu ila kesho nakuomba bwana uvae nguo hayo manyama yanatisha wanetu humu.

acha uoga kijana...nampango wa kuweka picha zangu nilizokuwa nabeba makontena....nayarusha juu nayadaka
 
Back
Top Bottom