zubedayo_mchuzi
JF-Expert Member
- Sep 2, 2011
- 4,873
- 1,221
..Ni matumaini yangu wote humu ndani wazima afya tele...mi nawasalimia tu jamani....
..Ni matumaini yangu wote humu ndani wazima afya tele...mi nawasalimia tu jamani....
Asante kwa salamu "Ukipata salamu, jibu salamu"
MI na Loya wangu hatujambo sijui ww na familia yako!
my wife hizi salaam za wanajamvi we unazidandia za niniahsante sana
ooo asante sana ndugu ila kesho nakuomba bwana uvae nguo hayo manyama yanatisha wanetu humu.