Palac
JF-Expert Member
- Mar 29, 2025
- 3,775
- 10,094
Unajulikana mheshimiwa ila awamu hii hakikisha unatembeza kifuta jasho vyema kwa wajumbe lasivyoIsije kuwa ya id mbili tena! Sina nyingne ngoja aje na hyo scan
Unajulikana mheshimiwa ila awamu hii hakikisha unatembeza kifuta jasho vyema kwa wajumbe lasivyoIsije kuwa ya id mbili tena! Sina nyingne ngoja aje na hyo scan
Unajulikana mheshimiwa ila awamu hii hakikisha unatembeza kifuta jasho vyema kwa wajumbe lasivyo
Unajua Code za humu?Mimi tena nimefanyaje. Hivi kwanini taarifa zisiwekwe wazi tu tujuane
Karrrlibu sana mkuu...
Aweke picha tumjue
Zima simu ulale0
Sijui naomba kujua
Zima simu ulale
Karibu sana,tupiamo na kapicha tafadhaliBaada ya kusoma kwa muda mrefu bila kupost hatimae nimejiunga rasmi. Nipokeeni nategemea kuendelea kujifunza mengi kutoka kwenu
Utamsaidia elfu sabini akatibiwe mbavu?
Nikome!Asante kwa msaada
Mbavu azimue cheupe zinakaa sawa ,kumbuka mimi ni Dr kabisa
Ndio ana nyuzi kama 8 anaomba elfu 70, fanya kumhandle mapema!
Ntakuchamba mpk ukome kuomba omba mitandaoni!Wamefuta zote ntaandika upya. Kama nakukera utavumilia
Karibu ilatutajie 🆔 yako kabla hujala banBaada ya kusoma kwa muda mrefu bila kupost hatimae nimejiunga rasmi. Nipokeeni nategemea kuendelea kujifunza mengi kutoka kwenu