Salamu zangu kwenu members mimi ni mgeni hapa JF

Sitokei njombe natokea iringa. Iringa siyo njombe na njombe siyo iringa.

Uelewa wangu mdogo labda
Nipe tofauti ya kuwa njombe na kuwa iringa, kuanzia mazingira na lugha. Tena Mwanzoni ulikuwa mkoa mmoja nadhani
 
Kwahiyo kesho nikiwa RUKWA nitajibu natokea KATAVI kwasabab ya lugha na mazingira na zaman ilikuwa mkoa mmoja? Mipaka ya kiutawala ni tofauti na utamaduni na mazingira. MASAI WA NJIRO SIYO MKENYA MKUU
 
Basi tuite tu jina moja majina tofauti gani wakati hayana mantiki
Kwani ukisikia kanda ya ziwa au kanda ya kati si jina moja lakini ndani yake kuna mikoa tofauti, lakini bado hatujaiita jina moja kwa sababu mantiki itapatikana tu ikihitajika

Halafu we mgeni kweli mbona mbishi hivi, unajua mimi ni nani hapa..
 
Njombe siyo kanda swali ni Unatokea njombe? Ningejibu Ndiyo natokea njombe maeneo ya iringa? Hapana tufanye tu sijui mkuu siyo kesi. ALAFU PUNGUZA VITISHO MKUU DUNIA YA KWETU WOTE
 
Nilikuwa nakuchallenge tu mkuu

Anyway, kidogo nisahau kukutisha. Dunia ya kwenu wote siyo jf
 
Hata hyo jf ya kwetu wote. Badala ya kujibu hoja unauliza unajua mimi ni nani? Kwani ukiwa nani ndo unatakiwa kutupangia cha kujibu
 
Kwahiyo kwa akili zako ukaona iliyopo mezani ni bonge la hoja unaidadavua, hujui kutenganisha hoja na jokes.. Pole sana
 
Back
Top Bottom