hahahhah haunishindi mm mwenyewe natamanigi kuwajua [emoji23] nikionaga reply ya mahondaw nacheka sina mbavu mwisho anamalizia nawacheka kwa dharau
Hivi hao team snitch ni kina nani? Natamani kuwajua[emoji12]
Umbea suna bwana we!!
Akikuribisha usisahau kupitia ndizi na pilipiliAhsante usisahau kuniita nile pilau.
Niko bomba sana sijui ww.How are you doing lakini??
Noo pilipili situmii mie lol.Akikuribisha usisahau kupitia ndizi na pilipili
Teh teh teeeeh!! Jf bwana.Wapo mate wapo humuhumu
Wengine Jukwaani wanaeza pita wanapita kimya kimya Babaaaa pm sasa full kusnitchs full kupanga mission za kumuharibia mahondaw
Na wengine jukwaani meno thelathini na nje yote mbili pm Babaaaa full usnitch
Wengine watu wa karibu nasi marafiki wanajifanya kondoo kumbe mbwa mwitu babaaa
Wengine hapahapa jukwaani hawafichi makucha yao full usnitch babaa
Wengine wanakudiss kumbe moyoni Wana kulike babaaa
Niseme tu
Mission impossible
Aaaah ndugu yangu huku hawakupi kama ilivyo ya huku imesagwaNoo pilipili situmii mie lol.
Ww kwani ni member mkongwe humu.Sijatokeapo kwa greetings
Utakua mpiga ramli mzuri sana ukijiendeleza.Ulcers at work lol
Pole sana mkuu
Ilimradi iitwe pilipili mm situmii hata ile ya kwenye vibanzi/chipsAaaah ndugu yangu huku hawakupi kama ilivyo ya huku imesagwa