Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 67,252
- 168,563
- Thread starter
- #21
hahahhah haunishindi mm mwenyewe natamanigi kuwajua [emoji23] nikionaga reply ya mahondaw nacheka sina mbavu mwisho anamalizia nawacheka kwa dharau
Bwaha Bwaha Bwaha Bwaha Bwaha
Usinikumbushe shogangu weee
Team snitches Wana kibarua lol
Koh koh koh ptyuuu
Wacha wapite kimya kimya make
Si kwa kuchekwa kwa dharau huku